Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Aisee huyo anaumwa kichwani, kimbiaa.Huyu wa kwangu amezidi hii 100%
Yaani AIRTEL money ana 500000+
lakini kifurushi kujiunga MBINE yeye ANABEEP TU
Hapa huyo ni nimeoa kabisa huu ni mwa wa 15 yaani UHUSIANO + NDOAAisee huyo anaumwa kichwani, kimbiaa.
Hawa ndio wanatuona Wanaume ni Ndezi, na ndivyo anakuona. Yaani anahubiri ufiliske akucheke kwa ujinga wako.
Unakuta kwao anajenga ila wewe hata Baba yako hujambadilishia mlango uliochanika
Huyu wa kwangu amezidi hii 100%
Yaani AIRTEL money ana 500000+
lakini kifurushi kujiunga MBINE yeye ANABEEP TU
Hapa huyo ni nimeoa kabisa huu ni mwa wa 15 yaani UHUSIANO + NDOA
NDOA=11+
Hizo hela ni zangu naweka kwake maana mimi naweza wiki nzima kila siku naweza kununua nguo halafu zisivaliwe.
NB;UKIONA MUNGU AMEKUJAALIA KUOA MWANAMKE WA KIPARE UJUE AMEKUPANGIA UWE TAJIRI
Kila tukichinja kuku, anajua kabisa mimi huwa napenda mapaja.Taja hizo tabia zake mbaya tujue kama ni mbaya kweli au wewe una gubu!
Thubutu!Huyu mtu akiacha UBAHIRI ujue mwezi hauishi Yesu anarudi dunianiEwaaa, Hawa ndo wapare sasa kuna kipindi demu wangu alikua analeta hizo pigo, akiunga dakika mia anataka azitumie mwezi
Sasa akikupigia anaongea kidogo then utaskia nipigie, Nikamwambia ujinga huo sifanyi mm.
Vocha ya buku tu mtiani utanunua pampasi kweli.
Saivi naona kaacha 😀
Ndugu yangu huo sio Uchoyo hivi wewe ujinyime kutumia hela halafu umwache mwenzako aitapanye kweli haki hiyo?Yap ukioa mpare mtapata maendeleo sana tu, maana ni watafutaji na sio watapanaji.
Shida yangu ni kupungua kwa Trust na mapenzi kutokana na ubahiri unao zaa uchoyo.
Mfano umeacha 20k, Familia ile vzuri unarudi unaskia walikua makande au ugari viazi 😀
Hela iliobaki kapeleka kikoba, na siku akichukua hela kikoba hutalamba hata 100 😀
Ndio Yule Hana pogo za mahaba ameka a kimeni meniEwaaa, Hawa ndo wapare sasa kuna kipindi demu wangu alikua analeta hizo pigo, akiunga dakika mia anataka azitumie mwezi
Sasa akikupigia anaongea kidogo then utaskia nipigie, Nikamwambia ujinga huo sifanyi mm.
Vocha ya buku tu mtiani utanunua pampasi kweli.
Saivi naona kaacha 😀
HahahaKwani alikuwa Bikira?
Robert Heriel Mtibeli Dada zako njoo uwatetee huku
Ndio Yule Hana pogo za mahaba ameka a kimeni meni
Kwa mwanamke mjuaji na mlamba hela, ataishi na wewe kimkakati. Sio rahisi kumbebesha mimba bila maamuzi yake. Utatwanga utwangavyo mpaka pala lipasuke magaga lakini mimba huoni ng'ooo!Anasema hapigiwi simu mpaka akiwa anataka hela akishampa hela ndio imetoka hio mpaka hela ziishe zikiisha anapiga tena simu anaomba zingine, nimemwambia dawa ya huyo ni kumpiga mimba hio tabia itaacha mara moja.
Labda sio mimi na huyo unaemzungumzia hapo juu kwa maelezo yako ya kufichaficha huyo ni mwanamke malaya ondoa hio mjuaji maana najua ndio malaya hapati mimba mpaka aamue mwenyewe ila hawa wengine ambao hawajafika levels za umalaya kiasi hicho unamuweka tu na inajaaKwa mwanamke mjuaji na mlamba hela, ataishi na wewe kimkakati. Sio rahisi kumbebesha mimba bila maamuzi yake. Utatwanga utwangavyo mpaka pala lipasuke magaga lakini mimba huoni ng'ooo!
Tembea uone kaka, hao wapogoro ni moto wa kuotea mbali.Hao hata hawapo kwenye hesabu za kitaifa mkuu.
Uzuri wa sura
Uzuri wa maumbile
Alafu uzuri kichwani
Tembea uone kaka, hao wapogoro ni moto wa kuotea mbali.
Wamekamilika kila idara ndio maana hayati mwl JK alipenda sana kuwatumia kwenye ile idara nyeti.Shule imo?
Maana wapare uzuri wa maumbile na sura Wanavyo na shule imo. Inakuwa full package
Wamekamilika kila idara ndio maana hayati mwl JK alipenda sana kuwatumia kwenye ile idara nyeti.