Ndo kamoja kutwa kuni time iki kabebe mimba, Shenzi zake ubebe mimba halafu baadae tuanze kung'ang'ania watoto.
Na wewe ukileta hizo piga za kula hela za wanaume halafu unakimbia kimbia siku ukidakwa ni mimba tu utaenda kujiuguza mpaka uzae ndio akili ikukae sawaHivi kuzaa mnakuchukukia simple simple tuπββοΈπββοΈπββοΈ
Kisha mnaleta watoto msioweza kuwalea na kutuongezea shinda duniani.
Raha yao ni kwamba mechi ni daily, Utachoka wewe tu π
Ukikua utaelewa.Na wewe ukileta hizo piga za kula hela za wanaume halafu unakimbia kimbia siku ukidakwa ni mimba tu utaenda kujiuguza mpaka uzae ndio akili ikukae sawa
Hapo kwenye kupeana wino, kwa mpare ndio kwenyewe. Anaweza kuwa mfanyakazi, ule muda wa lunch anakutafuta upige chambuzi ndio arudi kazini. π
Mwanamke wa kipare muda wote panawasha. Watani zangu wale.
Muda huo nitakua nishakupiga mimba km mbili tayari, niambie maneno mengine twende haraka haraka kidogo mkao wangu pendwa ni ule ule lazy dogUkikua utaelewa.
Wanawasingizia na kuwaonea tu!π hata sijui ndiyo maana nimekuita useme chochote
Hahaha, Sasa niambie kwann watani zako ni wabahiri mno mpaka wanakua wachoyo?
Na kua na mke mbahiri ni redflag au Compliment ?
Sio kwa kunitafuta akihitaji kama vile mtu atafutavyo chakula akisikia njaa.Braza basi huwezi pata mwanamke wa maana namna hiyo. Mwanamke akikupa kitu, penzi, au upendo wake lazima kuna kitu anategemea in exchange. π
Kuna mpare mmoja alikuwa ana miliki nyumba kadhaa za wapangaji ila cha ajabu nyumbani kwake hawezi kula nyama, wao ni makande , utumbo na maharagwe.Mpare kwa asili ni mtu mbinafsi.
Kuwa na mke mbahiri sio afya sana kwenye ndoa yenu. Kuna familia wanashindwa hata kula vizuri kwa ubahiri huo wa mwanamke au mwanaume. Sasa unajiuliza hela wanatafuta za nini? π
Mtu asie na shukrani wa kazi gani hata Atoto hawezi kumkubali wifi wa hivyoAmeomba 10k nimemtumia muda huohuo unajua nini kimetokea π€£π€£ eti mwanaume mbahili kama mpare yaani umeshundwa kutuma na ya kutolea? π³ nimeumia saana mpaka Sasa nimerudisha muamala anauliza kwanini umesitisha muamala nimemjibu nikipata ya kutolea nitakumia tenaπββοΈπ€£
Natamani kufahamu tabia za wahaya walio kwenye corporate jobs, kuna mmoja nammendea.Mtu asie na shukrani wa kazi gani hata Atoto hawezi kumkubali wifi wa hivyo
Mpare kwa asili ni mtu mbinafsi.
Kuwa na mke mbahiri sio afya sana kwenye ndoa yenu. Kuna familia wanashindwa hata kula vizuri kwa ubahiri huo wa mwanamke au mwanaume. Sasa unajiuliza hela wanatafuta za nini? π
Wananata sana hao ila binafsi najiamini hata awe na status gani nikiamua kumwaga sera namwaga kwasababu sio kosa.Natamani kufahamu tabia za wahaya walio kwenye corporate jobs, kuna mmoja nammendea.
Kuna mpare mmoja alikuwa ana miliki nyumba kadhaa za wapangaji ila cha ajabu nyumbani kwake hawezi kula nyama, wao ni makande , utumbo na maharagwe.
Umebanduliwa bwashee πIla angalau uwe na hipsi, miksa ka tako ka kushikamo π