Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mkuu hebu, zunguka hata nusu ya bongo ndio uje useme hivyo, nine zunguka na hao wapare ni wa kulenga sana.Mimi nakuambia kwa Hapa Tanzania hakuna kabila lolote linalosogea kwa Wapare kwa Uzuri ule wa Generally
Kama unabisha Taja hilo kabila alafu tubishane kwa hoja.
Uzuri
1. Uzuri wa maumbile
2. Uzuri wa Sura
3. Uzuri wa Akili, mitazamo, fikra na elimu.
Hayo Mambo yote matatu wanawake wa kipare wanakimbiza vibaya.
Hakuna kabila linalosogea hapo labda jirani zao wachaga ambao Siku hizi nao maumbo wanakuja vizuri.
Taja
Wapare ambao nimewahi kudeal nao sijawahi kuona wenye urembo wa kuwazidi makabila mengi ya TanzaniaWapare huwajui Mkuu.
Kwa Tanzania hii hakuna kabila linalosogelea Wapare kwa Uzuri Ile Generally
Kuanzia sura, rangi, umbo, akili n.k.
Alafu wanafuatiwa na Wachaga
Speaking from experience mademu wa Kipare ni malaya kupindukia wengi wanajificha kwenye UsabatoHuwajui Wapare.
Tanzania Makabila yenye wanawake wazuri mnawahusisha na Umalaya.
Umalaya, kwa indicators zipi?
Mkuu nishamjibu! 🤣Akijibu nitag Mbaga. 😁
Inabidi wajitetee wenyewe, au unasemaje Chica! Halafu nikajua na wewe ni wa milimani, hizo rasta zinafanania😅Ndiyo uwatetee sasa
Acha mambo yako we mchina, kwamba wapare ni wasabato tu!Speaking from experience mademu wa Kipare ni malaya kupindukia wengi wanajificha kwenye Usabato
Safi, Ndo vitu vyangu hivi 😎Sukuma gang
Unawajua wapogoro wa Ulanga ,Morogoro?Mimi nakuambia kwa Hapa Tanzania hakuna kabila lolote linalosogea kwa Wapare kwa Uzuri ule wa Generally
Kama unabisha Taja hilo kabila alafu tubishane kwa hoja.
Uzuri
1. Uzuri wa maumbile
2. Uzuri wa Sura
3. Uzuri wa Akili, mitazamo, fikra na elimu.
Hayo Mambo yote matatu wanawake wa kipare wanakimbiza vibaya.
Hakuna kabila linalosogea hapo labda jirani zao wachaga ambao Siku hizi nao maumbo wanakuja vizuri.
Taja
Vitu vyako kivipi?Safi, Ndo vitu vyangu hivi 😎
Kiingereza mwenyezi mungu akilaani.Habari za mda huu wanajamvi
Huyu wangu tuliokotana mwaka jana mwezi WA 3 Aisee nakajihisi nimepata Ila baada ya siku kuenda
Aisee naona hafai na nilipatikana mbona wanawake wa kipare huwa hawaeleweki japokuwa ni wazuri nilishauriwa Sana Ila nikapagawa na uzuri
Sasa she call me only when she- a help nachoka Sana
Njooni utuambie chochote kuhusu WAPARE na namna ya kuishi nao
Watu mnapiga kwenye mishono🤣Kiingereza mwenyezi mungu akilaani.
Jana nipo katika Afisi moja ya serikali hapa Zanzibar; kijana anaandika longly badala ya wrongly!! Halafu unawakuta wanashadidia mizee iondoke maafisini
sawa mkuu ila jitahid urembe mwandiko. Utapigwa Ban na wasimamizVumilia mkuu,si unajua tuliosoma Memkwa
Usukuma 😎Vitu vyako kivipi?
Najua siku hizi ili mtu aonekane msomi lazima achanganye kiinglish na kiswahili. Kama huna uhakika kwanini usiulize AI ikanyorosha kiinglish chako? Kumbe wanaopeleka watoto wao English Medium hawafanyi makosa, kama hali ni hiiWatu mnapiga kwenye mishono🤣
Wanawake wa kipare wapo vizuri..kwanza niwavumilivu kwenye ndoa, sio wajeuri, niwatafutaji, sio rahisi kuchepuka na yoyote hata na ndugu yake kama wabena..wanaheshima, wanapenda ndugu wote bila ubaguzi.
Wapare ambao nimewahi kudeal nao sijawahi kuona wenye urembo wa kuwazidi makabila mengi ya Tanzania
Mabinti wao ni maanduje kwanza halafu pili ni malaya
Binti zetu wa kipare ni warembo na wazuri. Sura ndefu na pua zilizojing'inia.
Kuhusu tabia sio wote wenye tabia hizo mbaya.
Karibu upareni
We jamaa kumbe ni Mpare,
Si ajabu ulikua unashadadia kuto kutunza mtoto alie ng'ang'aniwa na mama yake 😀
Nyinyi watu muwe mnaoana wenyewe kwa wenyewe tu.
Unawajua wapogoro wa Ulanga ,Morogoro?