Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

Kwanini mimi nimesemaje?
Wewe Hujasema chochote

20210501_204107.jpg
 
Hakuna Mzazi anayeweza kuishi ndoto ya mtoto wake. The best mzazi anaweza kufanya ni ku-support ndoto ya mwanae.
Mtoto hana ndoto.

Mtoto hana ubongo wa kujua Dunia ili kupanga ndoto.
 
Watoto wa kizazi kipya hao..

Enzi zetu ikitokea umeulizwa: ukiwa mkubwa unapenda uwe Nani? Wapo waliosema wanapenda wawe Askari, nesi, Mwalimu, Daktari, Rubani, Hakimu nk. Ikiwa hizi sio ndoto ni nini basi?

Ama kwako mtoto anapaswa awe na umri gani?
 
Mkuu Critical Thinking ni kitu muhimu jitahidi uwe nayo.

Mtoto kusema nataka kuwa Doctor ndio ndoto yake,
* Si utoto kweli....Ukiuliza watoto wa shule ya msingi Buza 99% wataangukia himu
*Doctor
*Mwalimu
*Mwanajeshi
*Polisi
*Dereva

Huwezi pata mtoto akakwambia mimi natakakuwa
*Logististician
*Programmer
*Graphics Designer
*Software Developer
*Aquatician
*Survyor
*Resercher
*Diver
*Director

Wewe unadhani kwanini watoto 99% wanataja list ya kwanza ni Taaluma au kazi ambazo wanaziona kilasiku na kuzisikia mtoto anahudumiwa na Doctor kilasiku, Yupo na mwalimu kilasiku, Anamwona mwanajeshi kwenye video, live polisi nk....Hivyo mtoto ukimuuliza anakujibu ndani ya upeo alionao na hajui wala hana WIDE MIND ya kujua kuna MAMILIONI ya taaluma na kazi Duniani.

*Hansacana ulivyoulizwa kipindi yupo darasa la 4 unadhani alisema anataka kuwa DIRECTOR no aliangua kwenye Doctor nk.

Hii ndio inaitwa Critical hivyo uwelewe mtoto hana ndoto bali ana hisia tu na haijui Dunia kwa 99%....Ukikuwa unataka kuwa nani Doctor eeh mwanangu ndoto yake kuwa Doctor WRONG
 
Nishakujibu juu naongeza kwa manufaa ya wengine.

Mimi sina mtoto ila najua Dunia inaelekea wanangu nitawaweka mapema sana kwenye uwelekeo wa Dunia nitawaongoza as time Go watajenga PASSION na sehemu niliyo wa EXPOSE mapema na ku generate ndoto zao humo...

Wanangu mpaka miaka 15 nataka wawe na uwelewa mkubwa sana kwenye
*Info Tech
*Finance kwa asilimia zake
*Lugha (Eng/France)
*Presentation Skills

Mpaka kufika miaka 18 wawe nondo zaidi mpaka miaka 20 watajiongoza wenyewe maana washatengeneza Passion Hormone sehemu nilizo wa Exposure kazi nayobaki nayo kuwasapoti FUND kwa wanayoyaendea.
 
Mkuu Critical Thinking ni kitu muhimu jitahidi uwe nayo.

Mtoto kusema nataka kuwa Doctor ndio ndoto yake,
* Si utoto kweli....Ukiuliza watoto wa shule ya msingi Buza 99% wataangukia himu
*Doctor
*Mwalimu
*Mwanajeshi
*Polisi
*Dereva

Huwezi pata mtoto akakwambia mimi natakakuwa
*Logististician
*Programmer
*Graphics Designer
*Software Developer
*Aquatician
*Survyor
*Resercher
*Diver
*Director

Wewe unadhani kwanini watoto 99% wanataja list ya kwanza ni Taaluma au kazi ambazo wanaziona kilasiku na kuzisikia mtoto anahudumiwa na Doctor kilasiku, Yupo na mwalimu kilasiku, Anamwona mwanajeshi kwenye video, live polisi nk....Hivyo mtoto ukimuuliza anakujibu ndani ya upeo alionao na hajui wala hana WIDE MIND ya kujua kuna MAMILIONI ya taaluma na kazi Duniani.

*Hansacana ulivyoulizwa kipindi yupo darasa la 4 unadhani alisema anataka kuwa DIRECTOR no aliangua kwenye Doctor nk.

Hii ndio inaitwa Critical hivyo uwelewe mtoto hana ndoto bali ana hisia tu na haijui Dunia kwa 99%....Ukikuwa unataka kuwa nani Doctor eeh mwanangu ndoto yake kuwa Doctor WRONG
Dream
Utoto

Do you understand the meaning of dream?

Do you understand the meaning of utoto/mtoto?

When you say critical thinking do you imply sandwich model? If yes, how likely the model fits with Dream and utoto conceptual frameworks?
 
Tafadhari usini Quote tena siwezi maliza muda wangu wakuishi kijinga
 
Back
Top Bottom