Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

yaani kati ya vitu ambayo watu wengi hawajaelewa ni hili suala, yaani ssas hivi killa shule binafsi inaona sifa kuchelewsha watoto kutoka shuleni ( mpaka chekechea wanatoka saa 9 ) mpaka jumamosi watoto wa sekondari wanaenda shule ,!! hivi huyu mtoto akikosa ajira atajitegemea kweli !!!! Daah, kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa !!!
 
Umeandika kwa masikitiko sana. Pole mkuu
 
Mwisho ndo umeharibu maana halisi ya uzi wako mkuu,amini nakwambia wanaoichafua hii nchi ni hao tulowapa kutuongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…