Wapenda haki hatutompa Kura Diamond Platnum kama tulivyokubaliana

WAPENDA HAKI HATUTAMCHAGUA DIAMOND PLATNUM

Na, Robert Heriel

Katika Tuzo za BET Diamond ni moja ya Wasanii wanaowania Tuzo hizo.

Wapenda haki, wanaharakati na Wana mtandao wote kuanzia Facebook, Instagram, JamiiForums, na Twitter Kama tulivyokubaliana hatutampa Kura Diamond Platnum na hatashinda tuzo hizo Kwa sababu ameshindwa kutumia nafasi yake vizuri kuilinda, kuijenga na kuitetea jamii yake.

Diamond hajawahi kutetea jamii ya Watanzania.

Utekaji na mauaji yalivyopamba Moto Diamond alikuwa wakwanza kutoa kibao chenye ujumbe usemao " Acha Nikae kimya" maudhui ya wimbo ule yalilenga kuhafifisha na kutia uoga jamii isipige kelele kuhusiana na vitendo hivyo vya udhalimu.

Diamond ni tofauti kabisa na Wasanii wa Nigeria Kama kina P Square, Burns boy, Davido n.k ambao mara kadhaa walijitokeza kuungana na jamii kuipinga serikali pale inapokosea mpaka kuandamana kabisa.

Diamond hawezi chaguliwa na watu wote walioenda shule, waliostaarabika, wapenda haki na wanaharakati.

Kwa hapa Nchini waliojaribu na wanaojitahidi kutetea haki na kutetea jamii ni kina Ney wamitego, Roma mkatoliki, Profesa Jay miongoni mwa wengine.

Diamond ni Aina ya wanamuziki wanaoiona jamii Kama jamii ya vibushuti sio ajabu ndio maana nyimbo zake nyingi hasa za siku hizi niza vibushuti, zinalenga watu wenye Low IQ.

Diamond Kama angenoga Kama angeimba nyimbo Kama za kipindi kile mathalani "nimpende Nani" ukimuona" Nitampata wapi" lakini sio hizi za Jeje na mfano wa zile za nyoka pangoni.

Kama tulivyokubaliana Kura asipate.

Ili iwe funzo Kwa Wasanii wa kizazi kinachokuja.

Msanii ambaye ni kioo cha jamii badala aungane na jamii yeye anaungana na serikali. Ajabu hii.
Hii ipo katika nchi yetu pekee.

Hata Marekani wenye muziki wao Wasanii wao huwa upande wa wananchi.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Mkuu GT nifanyie wepesi kwakunipa Linki ya hule uzi wako bora kuhusu SIRi.

Natanguliza Shukrani zangu za dhati kabisa
 
Naunga mkono hoja ,hawezi kushinda Domondi huko BET,awaambie kina pole pole wampigie kura.
Mbona nasikia hii hakuna kupiga Kura watu Kama sie? Kura inapigwa na wahusika huko huko bet.
Sijaona hata maelekezo ya jinsi ya kupiga Kura au nakosea? Nieleweshe
 
Etii wapenda haki, my foot
Unayofanya we ndo mtenda haki au?
Kila mtu afanye yake, mi nampigia ashinde asishinde fresh tuu kwan Nini!

Acha chuki binafsi
Tunapigaje Kura?
 
CCM (Ya Dr Bashiru na Prof Polepole) aliokua anawapigia campaign wampitishe bila kupingwa BET AWARDS. Wamehitimu Shahada ya kuiba kura.

Binafsi, Diamond angekua anachuana kwenye hizo tuzo na "FUNGU LA MAVI", basi ningelipigia kura hilo fungu la mavi, ila sio huyo jamaa. Hatetei jamii wala chochote kwa taifa letu, ila anataka yeye atatetewe;

1) Ana dhalilisha wanawake (Kujaza mimba na kuwaacha), as if yeye ndio rijali peke yake.

2) Akisaidia au kutoa msaada basi lazima ajitangaze, wakati mwenzake Alikiba anasomesha shule na kuwalea mayatima kibao na hajitangazi.

3) Hashughuliki kutetea vijana wasio na ajira kitaifa, waliosoma na hawana ajira. Ajira zake kwa vijana anatoa kwa anaowajua tu.

4) Hashughuliki na kutetea uvunjwaji wa haki za binaadamu, anajifanya hayupo kisiasa ila kwenye campaign anakua mstari wa mbele.

5) Hashughuliki na kupaza sauti juu ya uonevu unaofanywa na viongozi wa mikoa na wilaya.

6) Ana haribu jamii, hasa vijana, kuvaa hereni/vikuku n.k

7) Ana dharau kwa wazee, jinsi alivyomdharau na kumdhalilisha yule Mzee Abdul si jambo zuri. Hata kama sio baba yake mzazi, ila alivyomlea wakati mdogo ni tosha kwa yeye kumheshimu kama baba yake.
Wanawake gani waliodhalilishwa? Hawa waliojipeleka wenyewe na hawakubakwa?
Diamond peleke Moto mzee baba na akijileta mwingine mpelekee Moto na usisahau kumzalisha
 
Bahati nzuri jamiiforums haitumiwi Sana na vilaza wengi, ingekuwa ndio watoa tuzo huyo Mondi angeangukia pua

Lakini wapiga kura wangekuwa whatsup,fb na insta angeshinda mapema Sana maana hiyo ndio mitandao ya mburura wengi wasiopenda kufikiri
 
WAPENDA HAKI HATUTAMCHAGUA DIAMOND PLATNUM

Na, Robert Heriel

Katika Tuzo za BET Diamond ni moja ya Wasanii wanaowania Tuzo hizo.

Wapenda haki, wanaharakati na Wana mtandao wote kuanzia Facebook, Instagram, JamiiForums, na Twitter Kama tulivyokubaliana hatutampa Kura Diamond Platnum na hatashinda tuzo hizo Kwa sababu ameshindwa kutumia nafasi yake vizuri kuilinda, kuijenga na kuitetea jamii yake.

Diamond hajawahi kutetea jamii ya Watanzania.

Utekaji na mauaji yalivyopamba Moto Diamond alikuwa wakwanza kutoa kibao chenye ujumbe usemao " Acha Nikae kimya" maudhui ya wimbo ule yalilenga kuhafifisha na kutia uoga jamii isipige kelele kuhusiana na vitendo hivyo vya udhalimu.

Diamond ni tofauti kabisa na Wasanii wa Nigeria Kama kina P Square, Burns boy, Davido n.k ambao mara kadhaa walijitokeza kuungana na jamii kuipinga serikali pale inapokosea mpaka kuandamana kabisa.

Diamond hawezi chaguliwa na watu wote walioenda shule, waliostaarabika, wapenda haki na wanaharakati.

Kwa hapa Nchini waliojaribu na wanaojitahidi kutetea haki na kutetea jamii ni kina Ney wamitego, Roma mkatoliki, Profesa Jay miongoni mwa wengine.

Diamond ni Aina ya wanamuziki wanaoiona jamii Kama jamii ya vibushuti sio ajabu ndio maana nyimbo zake nyingi hasa za siku hizi niza vibushuti, zinalenga watu wenye Low IQ.

Diamond Kama angenoga Kama angeimba nyimbo Kama za kipindi kile mathalani "nimpende Nani" ukimuona" Nitampata wapi" lakini sio hizi za Jeje na mfano wa zile za nyoka pangoni.

Kama tulivyokubaliana Kura asipate.

Ili iwe funzo Kwa Wasanii wa kizazi kinachokuja.

Msanii ambaye ni kioo cha jamii badala aungane na jamii yeye anaungana na serikali. Ajabu hii.
Hii ipo katika nchi yetu pekee.

Hata Marekani wenye muziki wao Wasanii wao huwa upande wa wananchi.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kweli mkuu lakini linajuaa
 
Bahati nzuri jamiiforums haitumiwi Sana na vilaza wengi, ingekuwa ndio watoa tuzo huyo Mondi angeangukia pua

Lakini wapiga kura wangekuwa whatsup,fb na insta angeshinda mapema Sana maana hiyo ndio mitandao ya mburura wengi wasiopenda kufikiri
Mbona jamiiforums inaelekea huko kwenye kuwa kama FB na Instar, kama members wa JF wanashughulishwa na Diamond unadhani ni kipi unategemea?
 
Amna kitu hapa. Yani unampangia mtu aimbe nini!! Aimbe tu hata kama hakina soko ili amridhishe ROBERT HERIEL .

Wasikilize unaowapenda mkuu kina roma,ney, sugu, prof jay na kama hao ambao sote tunajua ni wanaharakati. Tangu lini mbana pua bongo hii akawa mwanaharati, mnamuonea tu kijana wa watu.

Acha nikampe kura yangu apeperushe bendera ya nchi yetu pendwa. Ushindi wake ni wangu na wako ROBERT HERIEL
 
Kwa kauli hizi za Mbowe uchaguzi haukuwa wa uhuru Na haki.
Magufuli kafarika kabadili kauli anasema Chadem hawakuwa na wagombea sahihi wenye ushawishi kwa jamii.
Tuelewe nini.
Hizo tuzo za wenyewe wanampa wanayemtaka kula yako haiwezi kubadili matokeo.
CHADEM mnajiingiza kwenye mtego wenyewe akishinda kwenye hizo tuzo inamaana Chadem hawana ushawishi kwa Wananchi

watu wamepandisha idadi ya wapiga kura kwenye uchaguzi wa America washindwe kwenye tuzo za msanii
 
Sikuwahi kujua Kama na we jamaaa ni zero kiac hiki sasa Kwan siasa na mzik wap na wapi yani kijana ni hard worker lakina kisa eti ni ccm [emoji16][emoji16] kijana tutampigia kura na atapita hey burna ana msaada gani kwako mbon hata kiba, mmakonde , na wasanii almost wot walikua wanawapigia kapn ccm acha watu watafute feza na kuwakilish taifa we Kama hupig baki na uchaw wako .. komb lazim lirud nyumban m n chadema dam ila kwa hili la mkumbo w kigogo hampati mtu ...den hat akikosa utapt faida gani [emoji16][emoji16] we ni zeroooooo kam mbulula wengine

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app

Huna ujualo,

Usifikiri kila mtu ni mpuuzi.

Kama hujui maana ya Msanii mkubwa Bora ungekata kimya au ungemuuliza hata mtoto uliyemzaa akuelezee maana Baba ni hamnazo
 
Amna kitu hapa. Yani unampangia mtu aimbe nini!! Aimbe tu hata kama hakina soko ili amridhishe ROBERT HERIEL .

Wasikilize unaowapenda mkuu kina roma,ney, sugu, prof jay na kama hao ambao sote tunajua ni wanaharakati. Tangu lini mbana pua bongo hii akawa mwanaharati, mnamuonea tu kijana wa watu.

Acha nikampe kura yangu apeperushe bendera ya nchi yetu pendwa. Ushindi wake ni wangu na wako ROBERT HERIEL

Mtu hapangiwi chakufanya Ila nafasi yake kwenye jamii ndio inampangia cha kufanya.

Diamond anaweza asiwe na interest ya kupigania haki lakini nafasi aliyonayo inamlazimu kufanya hivyo.

Kama hujui mambo madogo Kama haya naomba nikuache Kwanza,

Ukamuulize mtoto uliyemzaa huenda akakuzidi upeo katika hili
 
Sio lazima kupigania iyo unayoiita haki, unamshambulia kisa alikua mlengo tofauti na wewe. Ukionacho wewe sicho akionacho yeye, tatizo kubwa la upinzani ni hili mtu asiyewaunga mkono ni adui kwao.

What if kama yeye aliona yupo upande wa haki, ndio maana nasema wewe unampangia cha kufanya, una uhakika iyo jamii yote ilitaka hivyo unavotaka wewe afanye.
Tafakari mkuu, halafu jaribu kukubali mawazo ya wengine sio kujiona wewe ni bora sana, utakosa vingi.
 
Wewe ndio ujitafakari.

Nimeshakuambia Personal mtu sio lazima kuwa na interest ya Jambo Fulani

Lakini Nafasi uliyonayo ndani ya jamii inaweza kukulazimisha kuwa na interest ya Jambo usilotaka personal.

Wapi huelewi Budah!

Au ndio upeo mdogo??
 
Tatizo lako unataka apinge upingacho wewe na asifie utakacho. Diamond kachagua upande wa kisiasa. Au labda ndgu ni jamii gani unayozungumzia.Mpaka awe mpinzani ndo mjue anaipigania jamii.
Tatizo umekalili kua kuipinga serikali basi ndo uko karibu na jamii.
Wapi huelewi Budah!

Au ndio upeo mdogo??
.
Mkuu punguza ego, ego ni ya watu wenye uelewa wa chini wanaojaribu kujikweza waonekana wanajua vitu vingi wakati sivyo. Unapopinga au kutoa hoja nakushauri achana na hayi maneno kwa wajuvi watakuona huna kitu kichwani.
 
Wewe Jamaa uko njema Sana,sasa Maanza kukufatilia
 
Tatizo lako unataka apinge upingacho wewe na asifie utakacho. Diamond kachagua upande wa kisiasa. Au labda ndgu ni jamii gani unayozungumzia.Mpaka awe mpinzani ndo mjue anaipigania jamii.
Tatizo umekalili kua kuipinga serikali basi ndo uko karibu na jamii.

.
Mkuu punguza ego, ego ni ya watu wenye uelewa wa chini wanaojaribu kujikweza waonekana wanajua vitu vingi wakati sivyo. Unapopinga au kutoa hoja nakushauri achana na hayi maneno kwa wajuvi watakuona huna kitu kichwani.

Unajua maana ya Nafasi kubwa ndani ya jamii?

Unajua nafasi ya Public Figure ndani ya jamii??

Nakupa mfano maana naona upeo wako upo chini.

Mama Samia ni Muislam kindaki ndaki, na hauamini Ukristo kabisa.
Na kamwe hatakubali kuingia Kanisani kusali.

Lakini Nafasi yake ya Ukuu WA nchi unamlazimu kuingia mpaka Kanisani ikiwezekana kuimba mpaka Mapambio.

Bado hujaelewa logic ya Nafasi kubwa ndani ya jamii aliyonayo mtu na personal interest zake ni mambo mawili tofauti?

DIamond hatumkatazi kuwa CCM au kuwa CHADEMA au kutokuwa na chama, lakini linapokuja suala la kutetea jamii yake kulingana na nafasi yake Hana budi kujionyesha Kama anatambua wajibu wake Kwa nafasi aliyopo.

Sasa wewe Kama huelewi Jambo dogo Kama hili sijui nikuweke kundi gani
 
Back
Top Bottom