Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #121
Wewe Jamaa uko njema Sana,sasa Maanza kukufatilia
Karibu Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Jamaa uko njema Sana,sasa Maanza kukufatilia
Uko Mvomero sehemu gani uje Dumila upate moja baridi nitalipa mimi?Karibu Mkuu
Uko Mvomero sehemu gani uje Dumila upate moja baridi nitalipa mimi?
😂😂😂 We jamaa aisee hebu leta mfano unaoendana na uzi wako basi. Diamond na mama Samia kweeliii???Unajua maana ya Nafasi kubwa ndani ya jamii?
Unajua nafasi ya Public Figure ndani ya jamii??
Nakupa mfano maana naona upeo wako upo chini.
Mama Samia ni Muislam kindaki ndaki, na hauamini Ukristo kabisa.
Na kamwe hatakubali kuingia Kanisani kusali.
Lakini Nafasi yake ya Ukuu WA nchi unamlazimu kuingia mpaka Kanisani ikiwezekana kuimba mpaka Mapambio.
Bado hujaelewa logic ya Nafasi kubwa ndani ya jamii aliyonayo mtu na personal interest zake ni mambo mawili tofauti?
DIamond hatumkatazi kuwa CCM au kuwa CHADEMA au kutokuwa na chama, lakini linapokuja suala la kutetea jamii yake kulingana na nafasi yake Hana budi kujionyesha Kama anatambua wajibu wake Kwa nafasi aliyopo.
Sasa wewe Kama huelewi Jambo dogo Kama hili sijui nikuweke kundi gani
😂😂😂 We jamaa aisee hebu leta mfano unaoendana na uzi wako basi. Diamond na mama Samia kweeliii???
Ndio maana nilikwambia una ego wewe sio bure. Mama Samia ni raisi na huo ni wajibu wake kwasababu nchi haina dini mkuu, jaribu kutafuta mfano mwingine.
Na unaposema kuitetea jamii ni kuitetea katika namna ipi labda?? Diamond sio wewe mbona huelewi ndugu, yeye kuitetea kwake jamii ni kuishawishi iunge mkono kazi za watawala wake ndio maana anaimba mapambio kuwasifu.
Labda tu nikwambie mkuu, kwamfano kwenye mauaji ya yule mwanafunzi wa nit, wengi sana walilaani kitendo kile pamoja na kulaani kule bado kukawa na pande zaidi ya moja kuhusu lile tukio wapo waliosema polisi wana makosa na wapo wanaosema maandamano ya chadema ndio chanzo. Unaona kama hapo, ukiwa upande huu ule utakuchukia na ndivyo ilivyo kwa uyo jamaa kawa upande huu ule unamchukia.
Na ajabu zaidi anaandamwa sana Diamond wakati 98% ya wasanii ni mlengo huo huo alioko Diamond.
Wapinzani wa bongo bwana hamtakaa mshinde milele
Tutakesha tu hapa mkuu si rahisi kuelewana hapa.DIamond anaandamwa Kwa nafasi aliyonayo sio yeye Kama yeye Personal
Hata Magufuli na Mama Samia wataandamwa Kwa nafasi walizo nazo.
Kuhusu mfano nilioutoa nimejaribu kukuonyesha Personal interest na Personal Position jinsi zilivyo.
Labda Kama unataka nikuelezee Kama mtoto mdogo
Tutakesha tu hapa mkuu si rahisi kuelewana hapa.
Wacha iwe hivyo kwa kila mmoja wetu jinsi aonavyo.
Ila hakukua na ulazima wa hiyo sentensi ya mwisho. Unaonekana unajua kujenga hoja ila vijembe vinakuharibu mkuu .