Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hii wote tu sio wewe umbea na mume unanoga balaaMke wangu kaniambukiza umbea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii wote tu sio wewe umbea na mume unanoga balaaMke wangu kaniambukiza umbea
Mfano ukisikia nasema "bby kazi ya board"utajua nimesema Nini?Fumbo mfumbie mjinga...
friji langu haligandishiTuna misemo yetu ambayo mwingine hawezi elewa,tunaweza kukusengenya upo hapo hapo🥲
"Kazi ya board"Tupe mfano, ili tujifunze!
Wenyew wanaitaga ubuyukwa hiyo anakwambiaga shosti au shoga yangu nna umbea wa moto?
Ni ngumu kujua ila nikifuatilia mtiririko wa maongezi, naweza jua!Mfano ukisikia nasema "bby kazi ya board"utajua nimesema Nini?
Huwezi,tunaipagiga ukiwa hata hujatarajia yaani....Ni ngumu kujua ila nikifuatilia mtiririko wa maongezi, naweza jua!
NAAMJamaa kaula