Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

Mfanano wa hoja: 1. Kuna jamaa mmoja alikuwa tajri sana na ameajiri wafanyakazi wengi. Akizungumza sauti yake ilikuwa ni kama ina mkwaruzo hivi. Baadhi ya wafanyakazi wake wakawa wameiga kuongea hivyo 2. Watangazaji wengi wa Tanzania wameiga sauti ya marehemu Julius Nyaisanga.
 

Mii alitaka kuniambukiza umbea, lakini nikamgomea.
πŸ˜› πŸ™‚πŸ˜›
 
Kuna maneno tumeigana ila kubwa zaidi ni kudeka. Mimi ndio cha kudeka, sasa nae nimemdekeza sasa hivi anadeka.
Huwa nacheka mpaka basi!
Woooi, ndo maana magufuli aliwahi kusema "Msije shangaa naosha vyombo nyumbani" wanaume tukiwa kwa wake zetu kuna mengi sana yanatokeaga yaan image 2 tofauti kabisa. Ona wa huyu yeye anadeka, hahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…