Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda hayo mapicha siku moja walishangaa anatoka chumbani kwake mbio wenzie walimfuata na kumhoji alidai ameona mtu anatoka nje ya sreen anamfuata. Endeleeni kuangalia iko siku ........
 
Daaah haya mamovie yamenipita pembeni sana napenda sana documentary na historical movies
 
Kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda hayo mapicha siku moja walishangaa anatoka chumbani kwake mbio wenzie walimfuata na kumhoji alidai ameona mtu anatoka nje ya sreen anamfuata. Endeleeni kuangalia iko siku ........

Inaweza Ukawa Sahihi Mkuu Kwani Hizo
Movie Zingine Ni Matukio Ya Kweli.
Kama Conjuring Kuna Mtu Ali Dead Kwenye Cinemax Jinsi Ilivyo Horror. [emoji88] [emoji88] [emoji88]
 
Kuna tofauti kati ya horror movies na thriller.
Hizo za kuchinjana chinjana ni thriller na sio horror.
Hio omen naikubali sana.
Nakumbuka niliangalia kucha. Part 1 mpk 3. Haiishi hamu.
Me napenda zaidi horror kuliko thriller.
Kama hizo wrong turn hatari sana.
 
Evil dead mkuu si mchezo. Ile part1.

Me pia mpenzi sana wa horror movies.

Sema siku hizi napitwa sana, nachoka na pirika za maisha sina hata time ya kuangalia movies. Hata hizi mpya zinazoingia sizijui.
 
Naona mnachanganya Horror na Thriller kuwa group moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…