Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Ewaaa...ππKwamba nikupe mwaliko
Huo mlo ni hatari, itakuwa 5G muda wote; usisahau na 'wine' mbili tatu πEwaaaaaa! Hapo ndio penyewe hapo!!
Ntakuchanganyia hio supu na ndizi mbiltatu ntakupikia na chapati!
Warmly welcome!
Hahaha.. labda anaogopa wageni viwavi jeshi mnakula mpaka sahaniKabesaaa mkuu na asikie kweri kweriiii! Aaliyyah do the needful nasubiria blessings ujue si unajua tumekua wakimbizi kambi popote π€ !
Kwa mimi Mbona kiwavi kina nafuu Mkuu hapo nlikipita nusu saa sahani yangu ya matunda lol!Hahaha.. labda anaogopa wageni viwavi jeshi mnakula mpaka sahani
Ngj tutayajenga haya.. naona unaanz kunibadirishia kiswahili..πNitakualika mwaka mpya
Hahaha nakubali..Kwa mimi Mbona kiwavi kina nafuu Mkuu hapo nlikipita nusu saa sahani yangu ya matunda lol!
Acha tule tu bana huko juu tutapewa miili mipya π€ π€ !!
πππHatari sana mm sikuhiz sifanyi diet kabisa had baibui zimeanza kuwa Magauni πKwa mimi Mbona kiwavi kina nafuu Mkuu hapo nlikipita nusu saa sahani yangu ya matunda lol!
Acha tule tu bana huko juu tutapewa miili mipya π€ π€ !!
5G πππππ! Kwamba baada ya kushiba kifuatachoπ€ π€ π€ π€ !π€£Huo mlo ni hatari, itakuwa 5G muda wote; usisahau na 'wine' mbili tatu π
Mbali..ππ
Mwaka mpya sio mbali ππ
Hebu nionee jamaneee !! Chap unaitoa!!πππHatari sana mm sikuhiz sifanyi diet kabisa had baibui zimeanza kuwa Magauni π
Mimi pia nimezeeka dear... Hata sijareeee lol weee tupia hivohivooo tyuuu hatudaiwiii!!Sina dear sikuhiz nimezeeka hatari π
Nimecheka et Kambi popote ππTayana-wog mama la mama saivi kambi popote...tupo huku jukwaa la masaptasapta karibu sana!
Eendiwoo dear ukimbizi siooo!!Nimecheka et Kambi popote ππ