Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Ewaaa...😀😀Kwamba nikupe mwaliko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaaa...😀😀Kwamba nikupe mwaliko
Huo mlo ni hatari, itakuwa 5G muda wote; usisahau na 'wine' mbili tatu 😀Ewaaaaaa! Hapo ndio penyewe hapo!!
Ntakuchanganyia hio supu na ndizi mbiltatu ntakupikia na chapati!
Warmly welcome!
Hahaha.. labda anaogopa wageni viwavi jeshi mnakula mpaka sahaniKabesaaa mkuu na asikie kweri kweriiii! Aaliyyah do the needful nasubiria blessings ujue si unajua tumekua wakimbizi kambi popote 🤠!
Kwa mimi Mbona kiwavi kina nafuu Mkuu hapo nlikipita nusu saa sahani yangu ya matunda lol!Hahaha.. labda anaogopa wageni viwavi jeshi mnakula mpaka sahani
Ngj tutayajenga haya.. naona unaanz kunibadirishia kiswahili..😆Nitakualika mwaka mpya
Hahaha nakubali..Kwa mimi Mbona kiwavi kina nafuu Mkuu hapo nlikipita nusu saa sahani yangu ya matunda lol!
Acha tule tu bana huko juu tutapewa miili mipya 🤠🤠!!
😂😂😂Hatari sana mm sikuhiz sifanyi diet kabisa had baibui zimeanza kuwa Magauni 😀Kwa mimi Mbona kiwavi kina nafuu Mkuu hapo nlikipita nusu saa sahani yangu ya matunda lol!
Acha tule tu bana huko juu tutapewa miili mipya 🤠🤠!!
5G 😂😂😂😂😂! Kwamba baada ya kushiba kifuatacho🤠🤠🤠🤠!🤣Huo mlo ni hatari, itakuwa 5G muda wote; usisahau na 'wine' mbili tatu 😀
Mbali..😀😀
Mwaka mpya sio mbali 😀😀
Hebu nionee jamaneee !! Chap unaitoa!!😂😂😂Hatari sana mm sikuhiz sifanyi diet kabisa had baibui zimeanza kuwa Magauni 😀
Mimi pia nimezeeka dear... Hata sijareeee lol weee tupia hivohivooo tyuuu hatudaiwiii!!Sina dear sikuhiz nimezeeka hatari 😀
Nimecheka et Kambi popote 😂😂Tayana-wog mama la mama saivi kambi popote...tupo huku jukwaa la masaptasapta karibu sana!
Eendiwoo dear ukimbizi siooo!!Nimecheka et Kambi popote 😂😂