Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Udugu umeamkia jf? 🤣🤣🤣
Naingia nakutana na wewe, wazima na familia yako?
Nionyeshe hips ss hivi watu hawapo wamekumbatiana 😂
Jana nilipitwaaa sikuzima data haaa nashangaa asubuhi nashtuka nakutana na notifications !
 
🤣🤣🤣 Nakwambia udugu nina bonge la nyash mpk najishtukia.
Nimeanza diet sipendi hekaheka
Weeehh namwili wako ule saii utakua na lishepu noumaaa nanusuuuuu uduguuu fanya manuva nifurahishe macho bado wamelala uduguuu!!
 
Jana nilipitwaaa sikuzima data haaa nashangaa asubuhi nashtuka nakutana na notifications !
Mwenyewe nashangaa hapa sikuzima data 🤣🤣
Sijui ningekuwa na babe ingekuwaje!!
Angesoma ujinga wangu wote wa jf 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣 wee jf hawajawahi kulala udugu!!
Wanafumba jicho moja lingine liko huku
Hapana saivi bado wameraraa uduguuu ! Do hurry kabla hawajaona notifications za Lamomy replied in the thread wakaclick
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁! Weee wa vipajii kanisani sa ngapi???
Hahahaaa... nawe tupiaaa uchebe kwanzaaa kitrambo sanaaa!
Fanyeni chap madam, uchebe nimeutoa...naona vimvi vimeanza s siutaki tena🤣🤣
 
Hapana saivi bado wameraraa uduguuu ! Do hurry kabla hawajaona notifications za Lamomy replied in the thread wakaclick
Udugu sijapiga pic kitambo nina video tu na siwezi kuweka hapa 🤣🤣🤣🤣
Halafu siku hiz wanga wengi humu
 
Udugu sijapiga pic kitambo nina video tu na siwezi kuweka hapa 🤣🤣🤣🤣
Halafu siku hiz wanga wengi humu
Weee unaogopa wanga wa humu??? Hujawazoea tuu??? Hahahaaa...! Nivile saivi ziwa limefika tumboni sipigi picha ningewabless wapendwaa vile sijare lol😁😁😁😁!
 
Hiyo ni misimamo yake na elimu yake ya lishe, mimi nasimamia ninachoona kinanifaa. Wali unaleta obesity, ila nakipenda kifreezer changu kidogo.
Mama anatoa hadi nukuu za Biblia.
I wish ungekuwa mtoto wake...ni mwendo wa ugali wa mtama .
 
Back
Top Bottom