Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Nakaziaaaaaaaa! Aweke kwanzaaa japo mi sina jipya Kweli!!Aweke zake tumuone kwanza mzee wa hovyo 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakaziaaaaaaaa! Aweke kwanzaaa japo mi sina jipya Kweli!!Aweke zake tumuone kwanza mzee wa hovyo 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 em tubless bas mzee wa loose ballAcha roho za kikinga wewe🤣🤣
Huyu ni dada yangu, kwa umri wake na wangu hawezi kuwa mama yangu. Wewe ndio umuite mama...halafu nishakuambia ni mtu wangu sana tu! Ukiwa na shida katika lishe yako(unataka kunenepa🤣) nitakupa mawasiliano yake🤣🤣🤣Mama anatoa hadi nukuu za Biblia.
I wish ungekuwa mtoto wake...ni mwendo wa ugali wa mtama .
Tupia kwa chini, ziwa liache uko uko juu 😂😋Weee unaogopa wanga wa humu??? Hujawazoea tuu??? Hahahaaa...! Nivile saivi ziwa limefika tumboni sipigi picha ningewabless wapendwaa😁😁😁😁!
Aah picha kwa sasa aisee, humu kqbisa🤣🤣🤣🤣🤣 em tubless bas mzee wa loose ball
Bado mda sana madam, saa4 ndio mida yangu.🤠🤠😂😂😂😂😂! Wee Eroni leo husali??? Utaondoa udhu ujue!
🤣🤣🤣 hatareeeNasubiria nione kama naweza pata loose ball hapa🤣🤣
Aweke kabisa asitutanie 😂😂Nakaziaaaaaaaa! Aweke kwanzaaa japo mi sina jipya Kweli!!
Ndio wewe weka tuone 😂Aah picha kwa sasa aisee, humu kqbisa🤣🤣
Zee la hovyo!🤣Aweke kabisa asitutanie 😂😂
Tulione zee la mjini
Hilo hilo weka pic tuone 🤣Zee la hovyo!🤣
Kabisa afanye hivo asizingueWeka kwanza pic tuone then tutajua 🤣
Aaah wapi, nilistaaf kule selfika, sirudii tena🤣🤣Hilo hilo weka pic tuone 🤣
Timing zangu zikichelewa sana, poor me🤣🤣🤣Kabisa mkuu kila la kherii wenye watru weinyuu humu!!
Hivi kumbe Eroni ni mzee eeh?? Lol hongera zakee wazee wapo gudooo sana hawana tantalila!Aweke kabisa asitutanie 😂😂
Tulione zee la mjini
Umeaga mashindano udugu 🤣🤣🤣Kabisa mkuu kila la kherii wenye watru weinyuu humu!!
Kama una mtu humu Huu utani utakukosti ujue hahahaaa sijui kwanini nimecheka nyiee 🤠🤠🤣🤣!Timing zangu zikichelewa sana, poor me🤣🤣🤣