Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Mama anatoa hadi nukuu za Biblia.
I wish ungekuwa mtoto wake...ni mwendo wa ugali wa mtama .
Huyu ni dada yangu, kwa umri wake na wangu hawezi kuwa mama yangu. Wewe ndio umuite mama...halafu nishakuambia ni mtu wangu sana tu! Ukiwa na shida katika lishe yako(unataka kunenepa🤣) nitakupa mawasiliano yake🤣🤣🤣
 
Weee unaogopa wanga wa humu??? Hujawazoea tuu??? Hahahaaa...! Nivile saivi ziwa limefika tumboni sipigi picha ningewabless wapendwaa😁😁😁😁!
Tupia kwa chini, ziwa liache uko uko juu 😂😋
 
Kabisa mkuu kila la kherii wenye watru weinyuu humu!!
Umeaga mashindano udugu 🤣🤣🤣
Kuna mwingine naye juzi kaja na malalamiko ya kutelekezwa 10yrs!! Afu mwamba kaibuka anataka kujiweka tena dah!! 🤣🤣🤣
Mapenzi ya jf yananichekesha sana
 
Back
Top Bottom