ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kwamba unataka mtu wa kukisugua?🤣🤣 bahati mbaya nishazeeka.Si unajua sie washamba kwenye hiyo sekta 🤣🤣🤣
Tumeyajulia ukubwani yanatupeleka race vibaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba unataka mtu wa kukisugua?🤣🤣 bahati mbaya nishazeeka.Si unajua sie washamba kwenye hiyo sekta 🤣🤣🤣
Tumeyajulia ukubwani yanatupeleka race vibaya
Sijaona mbona😳
Hatareee 😍😍😍😍
Kabisa uduguuu!Nipe nikupe raha tupate 🤣🤣😂
Imeisha hiyooo!!
Hatareee sana, watu wanaenda na muda 😂😂
🤣🤣🤣🤣🙌🙌Kwamba unataka mtu wa kukisugua?🤣🤣 bahati mbaya nishazeeka.
KhakhaaaSijaona mbona😳
Mambo yasiwe mengi watu wana kazi nyingi za kufanya 🤣🤣🤣🤣Kabisa uduguuu!
Nahiki kitrambi naharee 😂😂😂🤣!Hatareee 😍😍😍😍
Udugu umepiga crop top sio shida zako
Kwani mangi wako hawezi?🏃🏃🏃🤣🤣🤣🤣🙌🙌
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Kitambi kitajiju kikubwa usipitwe na fashiooon 🤣🤣Nahiki kitrambi naharee sasa 😂😂😂🤣!
Ninavozipenda sina mudaaaaa🤠
🤣🤣🤣🤣Kwani mangi wako hawezi?🏃🏃🏃
Weee weeeeeeh weeeeehh! Haizeekagi hioo Hebu mfanyie uduguuu manuvaaaa ufurahie maji ya motrooo kwanzaa🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🤭🤣Kwamba unataka mtu wa kukisugua?🤣🤣 bahati mbaya nishazeeka.
Ataniganda, sitaki kugandwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Weee weeeeeeh weeeeehh! Haizeekagi hioo Hebu mfanyie uduguuu manuvaaaa ufurahie maji ya motrooo kwanzaa🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🤭🤣
Wee wait kwanza tumalizie lile jambo letu 🤣🤣🤣
Mama chanja knows it better just like you do!Nafikiri mkopoa kabisa
Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa
Mahitaji
Ndizi zilizokaangwa ambazo umekata shape ndogo size uipendayo na nyama iliyokaangwa unaweza tumia hata mishikski,
nyanya 2 kubwa zikate au zisage
karoti na hoho kata size uipendayo ,mafuta ya kupikia navitunguu(saumu kilichopondwa) na kitunguu maji,pilipili hoho,karoti na chumvi
Hatua ya kwanza
Bandika sufuria Yako jikoni weka mafuta ya kula kijiko kimoja Kisha kaanga vitunguu maji kikianza kulegea weka kitunguu swaumu
Hatua ya pili
Kisha weka nyanya pamoja na chumvi ziache ziive zikiiva weka hoho pamoja na karot acha Kwa dakika 3 zilainike
Hatua ya Tatu
Weka nyama zilizokaangwa au mishikaki Yako Kisha weka ndizi zilizokaangwa geuza na zichanganye vizuri had zichanganyike vizuri acha Kwa dakika moja Changanya Tena hapo zitakuwa tayar Kwa kuliwa
Unaweza kushushia na juis hata soda pia
Kama unaswali unaweza kuuliza pia km nitakuwa sijaeleweka mniwie radhi
View attachment 2766244
Santo sana mkuu enjoy your weekend!!!✌️
😜 jomoooni!!Ataniganda, sitaki kugandwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 hatareeeWeee weeeeeeh weeeeehh! Haizeekagi hioo Hebu mfanyie uduguuu manuvaaaa ufurahie maji ya motrooo kwanzaa🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🤭🤣
Jambo gani tena mkuu🤣🤣Wee wait kwanza tumalizie lile jambo letu 🤣🤣🤣