Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

Kwamba unataka mtu wa kukisugua?🤣🤣 bahati mbaya nishazeeka.
Weee weeeeeeh weeeeehh! Haizeekagi hioo Hebu mfanyie uduguuu manuvaaaa ufurahie maji ya motrooo kwanzaa🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🤭🤣
 
Weee weeeeeeh weeeeehh! Haizeekagi hioo Hebu mfanyie uduguuu manuvaaaa ufurahie maji ya motrooo kwanzaa🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🤭🤣
Ataniganda, sitaki kugandwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nafikiri mkopoa kabisa
Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa
Mahitaji
Ndizi zilizokaangwa ambazo umekata shape ndogo size uipendayo na nyama iliyokaangwa unaweza tumia hata mishikski,
nyanya 2 kubwa zikate au zisage
karoti na hoho kata size uipendayo ,mafuta ya kupikia navitunguu(saumu kilichopondwa) na kitunguu maji,pilipili hoho,karoti na chumvi

Hatua ya kwanza
Bandika sufuria Yako jikoni weka mafuta ya kula kijiko kimoja Kisha kaanga vitunguu maji kikianza kulegea weka kitunguu swaumu

Hatua ya pili
Kisha weka nyanya pamoja na chumvi ziache ziive zikiiva weka hoho pamoja na karot acha Kwa dakika 3 zilainike

Hatua ya Tatu
Weka nyama zilizokaangwa au mishikaki Yako Kisha weka ndizi zilizokaangwa geuza na zichanganye vizuri had zichanganyike vizuri acha Kwa dakika moja Changanya Tena hapo zitakuwa tayar Kwa kuliwa

Unaweza kushushia na juis hata soda pia
Kama unaswali unaweza kuuliza pia km nitakuwa sijaeleweka mniwie radhi

View attachment 2766244
Mama chanja knows it better just like you do!
Sema tasty foods zinaniletea uzito mkubwa sana kadiri umri wangu unavyosogea
 
Weee weeeeeeh weeeeehh! Haizeekagi hioo Hebu mfanyie uduguuu manuvaaaa ufurahie maji ya motrooo kwanzaa🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🤭🤣
🤣🤣🤣🤣 hatareee
 
Back
Top Bottom