Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Na wa kienyeji kweli?Kwa mahitaji ya vufaranga vya kienyeji orijino kabisa tucheki Urio Livestock Farm. Tupo KwaFundi-Tengeru-Arusha.
Wala si uongoKweli bongo tunacheza 😸
Chotara ana shida gani? Kwani wa Kisasa umekaririshwa wana madhara gani? Najipanga kuanza kuwafuga! Nitahakikisha nyama yao inapimwa TBS kwa ajili ya ubora!Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha.
Kila kitu kimemuwa fake. Ku kuthibitisha wanao itwa Ku kuthibitisha wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu tu.
Hakuna namna zaidi ya kuanza kufuga hao kuku Sisi wenyewe.
Wafugaji wa kuku wa kienyeji toeni mbinu
Hujui madhara ya kuku wa kisasa? Wala kuku chotara?Chotara ana shida gani? Kwani wa Kisasa umekaririshwa wana madhara gani? Najipanga kuanza kuwafuga! Nitahakikisha nyama yao inapimwa TBS kwa ajili ya ubora!
Hivi kisayansi kuna madhara gani kiafya kula kuroiler, food value yake ipo chini kulinganisha na kuku kienyeji ama ni nini hasa?Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha.
Kila kitu kimemuwa fake. Ku kuthibitisha wanao itwa Ku kuthibitisha wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu tu.
Hakuna namna zaidi ya kuanza kufuga hao kuku Sisi wenyewe.
Wafugaji wa kuku wa kienyeji toeni mbinu
Ukimsikia hata mmoja uje unistue kiongozi? Watu wamekaririshwa tu!Hivi kisayansi kuna madhara gani kiafya kula kuroiler, food value yake ipo chini kulinganisha na kuku kienyeji ama ni nini hasa?
Na kwanini hatujasikia miongozo ya kiafya kutoka katika taasisi zinazohusika na mifugo au Wizara ya afya?
Utasikia: 'kula mayai ama kuku wa kisasa kuna madhara'!
Kama madara yapo kweli, basi ajitokeze mtaalamu aweke data za kisayansi ili wadau tukae tukijua kuwa tunakula lakini kesho yetu haitakuwa salama ni kama wafanyavyo watengenezaji wa sigareti!
Mtu atumie lakini aelewe madhara yake pia.
Sasa hayo madhara
Yaani una I'd mbili, moja unatutisha walaji ya pili unatangaza biashara.Kwa mahitaji ya vufaranga vya kienyeji orijino kabisa tucheki Urio Livestock Farm. Tupo KwaFundi-Tengeru-Arusha.
Kwenye ma bar hakuna kienyeji wote wamechakachuliwaSiku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha.
Kila kitu kimemuwa fake. Ku kuthibitisha wanao itwa Ku kuthibitisha wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu tu.
Hakuna namna zaidi ya kuanza kufuga hao kuku Sisi wenyewe.
Wafugaji wa kuku wa kienyeji toeni mbinu
Kanatafuta soko kwa mbinu za kipumbavu kabisa!Yaani una I'd mbili, moja unatutisha walaji ya pili unatangaza biashara.
"Urijino sio nzuri kwa biashara!!"😀😀..
Mkuu nikajua ganja, umenikumbusha mbali Sana, kipindi bado nipo chuo Kuna jamaa yangu alisafirisha Bangi debe 2 kutoka Arusha mpaka dar... Haikua hata biashara yake out of the blue tu alifanya ivo alijua akifika dar atapata mpunga, kufika akawa hajuani na mtu dar, nae kuogopa
Kuuzwa akanicheki, mimi hapo hata mambo ya Bangi siyajui Wala nini, ila pale maeneo ya mabibo hostels Kuna eneo korofi lilikua linaitwa ubanda pale Kila kitu haramu utapata, basi nikasogea pale nikacheki na mtu tukaenda kimara wakaelewana wakalipana nikapewa na mimi upambe maisha yakaendelea
Kesho jamaa aliyenunua Bangi kanifata geto analalamika "aisee jamaa unataka kuniharibia biashara yangu hapa mjini mi ntaishije"
Hapo nishaingia kiubaridi najua labda kashikwa, namuuliza kwani shida nini man?
Ndo ananiambia hii Bangi mliyonipa Kali Sana aisee wateja wangu wakichukua stiki asubuhi hawarudi tena wanakua wamesizi wakati hua nawauzia mpaka stiki tano Kwa siku yaani Kila baada ya masaa matatu mtu anarudi kuchukua stiki...
Jamaa ndo ananiambia Bangi Kali Sana sio nzuri Kwa biashara Bora uwauzie makapi makapi Kila baada ya muda wanakuja kuchukua nyingine wewe unafanya biashara....
Nikabaki nashangaa
Huu mtandao umekuwa wa kifyongo sanaYaani una I'd mbili, moja unatutisha walaji ya pili unatangaza biashara.
Kila siku humu JF person of the year 2025 contender mwamba Dennis Robert Shughuru anatuonya lakini tuna mbeza. Sasa angalia ozone layers inavyoathiri Hadi ulaji wa kuku. Na mbadoo maamae!Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha.