granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
urio janja janja sanaKwa mahitaji ya vufaranga vya kienyeji orijino kabisa tucheki Urio Livestock Farm. Tupo KwaFundi-Tengeru-Arusha.
urio janja janja sanaKwa mahitaji ya vufaranga vya kienyeji orijino kabisa tucheki Urio Livestock Farm. Tupo KwaFundi-Tengeru-Arusha.
Kivipi chief?urio janja janja sana
janja janja sana huyo urio, hamna ktu hata kwenye ubroker wake wa ng"ombe, muongo muongo tu.Kivipi chief?
Arusha itakuwa ni strain ya indica ndiyo ukipiga na jua la Dar unasizi,mwana wa wa Dar atakuwa alikuwa na sativa ndiyo ukivuta unahitaji msokoto mwingine inakufanya unakuwa active.😀😀..
Mkuu nikajua ganja, umenikumbusha mbali Sana, kipindi bado nipo chuo Kuna jamaa yangu alisafirisha Bangi debe 2 kutoka Arusha mpaka dar... Haikua hata biashara yake out of the blue tu alifanya ivo alijua akifika dar atapata mpunga, kufika akawa hajuani na mtu dar, nae kuogopa
Kuuzwa akanicheki, mimi hapo hata mambo ya Bangi siyajui Wala nini, ila pale maeneo ya mabibo hostels Kuna eneo korofi lilikua linaitwa ubanda pale Kila kitu haramu utapata, basi nikasogea pale nikacheki na mtu tukaenda kimara wakaelewana wakalipana nikapewa na mimi upambe maisha yakaendelea
Kesho jamaa aliyenunua Bangi kanifata geto analalamika "aisee jamaa unataka kuniharibia biashara yangu hapa mjini mi ntaishije"
Hapo nishaingia kiubaridi najua labda kashikwa, namuuliza kwani shida nini man?
Ndo ananiambia hii Bangi mliyonipa Kali Sana aisee wateja wangu wakichukua stiki asubuhi hawarudi tena wanakua wamesizi wakati hua nawauzia mpaka stiki tano Kwa siku yaani Kila baada ya masaa matatu mtu anarudi kuchukua stiki...
Jamaa ndo ananiambia Bangi Kali Sana sio nzuri Kwa biashara Bora uwauzie makapi makapi Kila baada ya muda wanakuja kuchukua nyingine wewe unafanya biashara....
Nikabaki nashangaa
oajanja janja sana huyo urio, hamna ktu hata kwenye ubroker wake wa ng"ombe, muongo muongo tu.
Kuku wa kisasa wana madhara gani??Hujui madhara ya kuku wa kisasa? Wala kuku chotara?
Ni ujinga tu wa watu.Hivi kisayansi kuna madhara gani kiafya kula kuroiler, food value yake ipo chini kulinganisha na kuku kienyeji ama ni nini hasa?
Na kwanini hatujasikia miongozo ya kiafya kutoka katika taasisi zinazohusika na mifugo au Wizara ya afya?
Utasikia: 'kula mayai ama kuku wa kisasa kuna madhara'!
Kama madhara yapo kweli, basi ajitokeze mtaalamu aweke data za kisayansi ili wadau tukae tukijua kuwa tunakula lakini kesho yetu haitakuwa salama ni kama wafanyavyo watengenezaji wa sigareti!
Mtu atumie lakini aelewe madhara yake pia.
Sasa hayo madhara yatolewe kitaalamu.
😀😀..
Mkuu nikajua ganja, umenikumbusha mbali Sana, kipindi bado nipo chuo Kuna jamaa yangu alisafirisha Bangi debe 2 kutoka Arusha mpaka dar... Haikua hata biashara yake out of the blue tu alifanya ivo alijua akifika dar atapata mpunga, kufika akawa hajuani na mtu dar, nae kuogopa
Kuuzwa akanicheki, mimi hapo hata mambo ya Bangi siyajui Wala nini, ila pale maeneo ya mabibo hostels Kuna eneo korofi lilikua linaitwa ubanda pale Kila kitu haramu utapata, basi nikasogea pale nikacheki na mtu tukaenda kimara wakaelewana wakalipana nikapewa na mimi upambe maisha yakaendelea
Kesho jamaa aliyenunua Bangi kanifata geto analalamika "aisee jamaa unataka kuniharibia biashara yangu hapa mjini mi ntaishije"
Hapo nishaingia kiubaridi najua labda kashikwa, namuuliza kwani shida nini man?
Ndo ananiambia hii Bangi mliyonipa Kali Sana aisee wateja wangu wakichukua stiki asubuhi hawarudi tena wanakua wamesizi wakati hua nawauzia mpaka stiki tano Kwa siku yaani Kila baada ya masaa matatu mtu anarudi kuchukua stiki...
Jamaa ndo ananiambia Bangi Kali Sana sio nzuri Kwa biashara Bora uwauzie makapi makapi Kila baada ya muda wanakuja kuchukua nyingine wewe unafanya biashara....
Nikabaki nashangaa
Acha Bangi😀😀..

Mkuu siku moja jaribu kutembelea mabanda ya wafugaji wakubwa wa kuku ukajionee acha kukariri vitu vya mitandaon, we unadhani keji kama hiyo hayo mavi yatakaa muda gani kwenye mayai?Ukiachana na hao kuku ambao mimi huwa hata siulizii ijapo hata bei tu,siku moja nilijipa kazi ya kuchunguza na kuangalia haya mayai yanayoitwa ya kuku wa kisasa,kwakweli sikuelewa kabisa.
Mayai karibia tray 85 huoni hata yai moja lenye uchafu hata kidogo?
Yai halina hata mchirizi wa damu,halina uchafu wa aina yoyote utadhani limechongwa na fundi selemala?
Hapana,kuna namna watu wanaitumia kupata haya mayai wala hayatokani na kuku hata hao sijui wa kisasa mimi nakataa,bila shaka Mchina anahusika hapa.
Kuna pahala nimesema niliona yameandikwa mtandaoni?Mkuu siku moja jaribu kutembelea mabanda ya wafugaji wakubwa wa kuku ukajionee acha kukariri vitu vya mitandaon, we unadhani keji kama hiyo hayo mavi yatakaa muda gani kwenye mayai?View attachment 3403627
POTOSHI.Nikifa MkeWangu Asiolewe naomba busara zako hapa tafadhali ndugu yangu..!
JIBU ZURI SAAANA, CHA KUMALIZIA MWANDISHI AWE ANAPELELEZA KWANZA KABLA YA KUPOST VITU POTOSHI.POTOSHI.
Hakuna madhara yoyote tofauti na story za kijiweni!
Kuku Chotara. maana yake ni mchanganyiko wa kuku aina 2 kutoka sehemu mbili tofauti na kutengeneza uzao wenye sifa anazozihitaji muhusika (mfugaji).
Mfano unaweza kuchukua kuku Aina ya kuchi (og) then ukapandikiza na kuku wa kienyeji hawa wa kawaida uzao utakao tokea si kuchi halisi wala si kienyeji asili hii kifaranga hicho ndo kitaitwa chotara.
Swali kuku huyu mwenye mchanganyiko wa kuchi na kienyeji atakuwa na shida/madhara gani kwa mtumiaji?
Jibu hakuna madhara yoyote.
Kuku wa nyama au mayai
Kuku wa nyama. Hawa wanafugwa mahususi kwa ajiri ya nyama tu (broiler) na wanaangaliwa kwa umakini mkubwa mno ili wakue kwa wakati hapo itakupasa wale masaa 24 wapewe Madawa yote muhimu ili wasipate changamoto yyte na wakadumaa.
Itakuwa uwalishe masaa24 tena chakula sitahiki na chenye lishe zote muhimu.
Kwanini wanaitwa wa kisasa au kizungu.
Ni vile wanavyotunzwa kwa uangalifu wa hali ya juu sana maana hawahitaji changamoto yoyote hata iwe ya kimazingira tu wanaweza kuisha wote.
Mfano mtoto wa geti kali kamwe huwezi mlinganisha na mtoto wa kijijni huko kwanza mtoto wa geti kali kuna chakula hawezi kula kabisa na hata hajawahi kudhani hicho nacho ni chakula
Mtoto wa kijijini kule anaweza kula kitu chochote au kunywa maji yoyote bila kuugua hayo yote ni makuzi na malezi aliyolelewa na kukulia. Wa mjini akinywa maji ovyo muhimu ataharisha.
Madhara ya kuku wote hao iwe kienyeji,chotara au broiler yapo kwenye madawa wanayopewa.
Hii ipo kwenye mifugo yote iwe wanyama au ndege na ipo kwenye mazao yote pia.
Hii kila mmoja wetu ni shahidi.
Madawa mengi yanaonya kuhusu matumizi.
Chukulia dawa za mafua zinasema kuku anapotumia dawa angalau zipite siku3-7 ndo ule mayai yake hali kadhrika kwenye wanyama unaambiwa pindi mnyama wako ukimtibu basi usile wala kunywa maziwa yake kwa muda fulani.
Swali nani anayejari? Nani yupo tyr ana kuku 1000 wanaotaga atupe mayai ya kuku wote hao tena kwa siku zite zile?
Jibu ni ngumu sana na hapo ndipo tunapopata madhara kiafya.....
USALAMA WAKO NA WATU WENGINE.
Kwa sasa ni ngumu sana kutoboa au kuepuka matumizi ya madawa huwezi kuwa na kuku 500 halafu hao kuku uwaendeshe bila madawa ya viwandani ni ngumu sana (sijui kwa wengine)
Na kumbuka unapofikia idadi hiyo maana yake unafuga kibiashara sasa huwezi kukubali upate hasara zaidi ya m7 kwa kutokutumia dawa za kiwandani.
Mfano mwingine ni kwenye mazao
Mara nyingi viuatilifu vinasema Baada ya kupurizia dawa shambani itakupasa usubiri zaidi ya siku14 ndo uanze kutumia kwa matumizi ya chakula.
Jiulize mazao kama nyanya,Tango, Chinese nk kwa hakika huwezi subri wiki2 ndo uvune haiwezekani.
Hitimisho kuku hawana madhara kama wanavyosemwa madhara yapo kwenye madawa wanayo tumia.
Carleen
Madhara yepi?....tudadavulie kwa takwimu na vyanzo vya kuaminika.Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha.
Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu tu.
Hakuna namna zaidi ya kuanza kufuga hao kuku Sisi wenyewe.
Wafugaji wa kuku wa kienyeji toeni mbinu
Mkuu, kwa nini OG sio mzuri kwa biashara?"Urijino sio nzuri kwa biashara!!"
Hayo majani ya mwarobaini, Aloe Vera na majani ya mpapai, unawapatia kuku kama yalivyo ama unayachemsha kisha unawapatia maji yake, au unayafanyaje?madawa ya mitishamba kama mwarobain hii husaidia sana Kwa magonjwa ya kuhara, pia Kuna Alovera, majani ya mpapai hii usaidia sana kudhibiti baadhi ya magonjwa nyemelezi ya kuku kama kideri , mafua , kuhara n. K