Wapenzi wa pombe kali usiache kupitia huu Uzi!

ukifikia Pepsi Coca na Mirinda black nishitue nije kuchangia
 
mbona sioni ciroc hapo
 
Mimi ni mshabiki wa konyagi nyingine zote ni fake nikinywa ngozi yangu yote inavimba
 
Waiter zungusha hapa Bapa na Dompo

Peleka meza ile Bapa & Grants usisahau ice cube waiter

Nenda kule jikon mwambie mpishi alete mchemsho wa kongoro mwambie aweke bomba pilipili nyingi tena kwa sana

Mi nipo paleeeeeeh
Inaelekea una experience ya kutosha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…