Wapenzi wa Simba na Watanzania kwa ujumla wanataka kujua haya kuhusu uwekezaji wa MO kwenye timu ya Simba

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC?

2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji?

3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya dhana ya ufadhili, dhana ya biashara na dhana ya uongozi kwenye taasisi moja?

4. Je ripoti za kiutendaji ndani ya Simba zinawiana na tarakimu alizotaja MO?

5. Kama MO anatoa kiasi hicho cha fedha Je yeye ananufaika na nini? Kama hanufaiki kwa nini yupo pale kwa sura ya biashara?

6. Simba inanufaika vipi na utitiri wa matangazo ya MO na matangazo mengineyo?

7. Je MO anaisaidia Simba SC kwa return ya kutangaza bidhaa zake au anailipa Simba kwenye kutangaza bidhaa zake.

8. Ni kweli brand ya Simba SC imeshindwa kutengeneza fedha za kuendesha timu kiasi cha kutegemea msaada kutoka kwa tajiri?

9. Tajiri haoni umuhimu wa kukuza brand ya Simba SC badala ya kutoa fedha zake mfukoni kila uchao kuisaidia? Au ameshindwa kufanya hivyo?

10. Kwa jitihada anazozifanya MO kuiweka Simba kwenye ramani nzuri ya kiuchumi, kimfumo, na mafanikio kiwanjani...kwanini asitoke hadharani na kutuambia nini tatizo kwa vile nguvu inaonekana kuwa kunwa dhidi ya mafanikio?
 
Kifupi tu, tuheshimu maneno ya wazee. Mzee Rage alishasema Simba ni Mbumbumbu. Wazee wasipingwe. Buriani GENTAMYCINE
 
Hii nguvu pia mngeitumia kumhoji GSM na Eng. Hersi kwanini ndani ya misimu miwili timu inapata hasara tu na pale bajeti inafika mwisho mbona wanachama hawaitwi na kuambiwa ziada inayohitajika?
 
1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC?

2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji?

3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya dhana ya ufadhili, dhana ya biashara na dhana ya uongozi kwenye taasisi moja?

4. Je ripoti za kiutendaji ndani ya Simba zinawiana na tarakimu alizotaja MO?

5. Kama MO anatoa kiasi hicho cha fedha Je yeye ananufaika na nini? Kama hanufaiki kwa nini yupo pale kwa sura ya biashara?

6. Simba inanufaika vipi na utitiri wa matangazo ya MO na matangazo mengineyo?

7. Je MO anaisaidia Simba SC kwa return ya kutangaza bidhaa zake au anailipa Simba kwenye kutangaza bidhaa zake.

8. Ni kweli brand ya Simba SC imeshindwa kutengeneza fedha za kuendesha timu kiasi cha kutegemea msaada kutoka kwa tajiri?

9. Tajiri haoni umuhimu wa kukuza brand ya Simba SC badala ya kutoa fedha zake mfukoni kila uchao kuisaidia? Au ameshindwa kufanya hivyo?

10. Kwa jitihada anazozifanya MO kuiweka Simba kwenye ramani nzuri ya kiuchumi, kimfumo, na mafanikio kiwanjani...kwanini asitoke hadharani na kutuambia nini tatizo kwa vile nguvu inaonekana kuwa kunwa dhidi ya mafanikio?
Kama huudhurii mikutano mikuu usijiite mwanachama 🤣
 
Bilioni 87 alikuwa na uwezo wa kuinunua timu ya championship na kuifanya iwe kubwa kama simba, Yanga na Azam tena angeimiliki kwa asilimia 100
Hizi ni alizotoa tu, ukiweka alizoingiza inawezekana akawa ametoa pungufu sana ya hicho kiasi au pengine amepata zaidi.
 
Hii nguvu pia mngeitumia kumhoji GSM na Eng. Hersi kwanini ndani ya misimu miwili timu inapata hasara tu na pale bajeti inafika mwisho mbona wanachama hawaitwi na kuambiwa ziada inayohitajika?
Jikite kwenye mada ewe mbumbumbu
 
Hizi ni alizotoa tu, ukiweka alizoingiza inawezekana akawa ametoa pungufu sana ya hicho kiasi au pengine amepata zaidi.
Heri yako wewe unajiondoa taratibu kwenye kundi la mbumbumbu
 
Back
Top Bottom