Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Unajua maana ya akili lakiniKwasababu nyie wa 5imba ni mambumbumbu, hamuelewi kitu huku wapo wawili wenye Akili huwezi jua ndio hao wanaoshusha nondo
Sasa kuna maswali gani ya maana hapo zaidi ya ujinga ule ule wa miaka yoteUmeelewa maswali alouliza au unamsubiri GB 64 akufafanulie???
Mnatetea ninyi kama akina naniTunajaribu kuwatetea mnatuona majuha, tukiwachapa 5 mnaanza kuhaha humu ndani.