Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

Hakuna mahali ardhi ni gharama kama Arusha Mzee.
Sisi kwetu ni arusha uku ndani ndani kabisa umeme umefika juzi lakini amna ata ekar ya milion tano kwanzia 10m kuendelea

na wadozi wanazichukua wanachimba visima wanalima migomba, maembe, wanafuga nguruwe, kuku, ngombe wa maziwa n.k

Ukitaka ekar za milion nenda morogoro wilaya ya kilosa kule kuna mashamba ekar unapata kwanzia laki nane man badili mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…