Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

Watu wanaujuaj wa kijinga na hata sehemu hawajawah kaa, utaskia Arusha viwanja bei ghari sisi tunaishi karibu na mbuga pua na tako na kilometers 25 tu kutoka usa river na viwanja ni bei kutupa

Km 50 kutoka mjini shamba unanunua kwa lak3 tu hao mataahira wanaosema milion kumi upate hata 1acre ni wajinga hiyo kumi unaweza nunua kijiji uko uwiro
 
Acha uongo kijana
 
Huko Arusha Hadi ya laki yapo, ila mbali mno na mji, unakuta maji hakuna labda uchimbe, na miundo mbinu mibovu. Nina rafiki yangu alinunua eka kama mia nadhani, ila kufika sasa.
 
Kaka sehemu gani uko au masaini unataka jamaa akagombane na wafugaji amna shamba ya laki chugga km 50 from town
We bwege kama kilometers 50 tu kutoka center ya dar es salaam unapata shamba uka kwa lak5,6,7,8,9 had 1m, uko porin kwenu ndo mtu asipate shamba kwa milion 10? Kuna nn Cha ziada yani? Embu leta ushuhuda hapa tujue
 
K
Km 25 kutokea usa river means unaongelea karangai au wapi nakama nikarangai uko ndo mashamba hayashikiki kwa sababu watu wanalima throughout the year kwaajil kuna mto mitaa ile

au wewe unaongelea kijiji gani mili enyewe nina laki yatu yangu apa nikadake uwanja
 
Mbuga ipo karangai? ndo maana nasema muache kuropoka ovyo mambo msiyoyajua
 
Kaka sehemu gani uko au masaini unataka jamaa akagombane na wafugaji amna shamba ya laki chugga km 50 from town
Arusha ni kubwa mkuu and Yes ni vijiji vya kimasai eneo Lina Jina gumu la kimasai nishasahau. Mashamba ghali Arusha ni ndani ya halmashauri, ila ukiingia huko sijui Arumeru mashamba yapo bei rahisi tu.
 
WanaArusha wanaitetea Arusha yao.

Wanadai tu ardhi ni gharama ila hawakatai kwamba hilo linaloitwa jiji bado lina ardhi ya mtu kuweza kulima.

Jiji ukizunguka sehemu unakuta barabarani nyumba zimepakwa rangi ya kampuni ya kuuza mbegu za mahindi.

Mwanetu komaa huwezi kukosa, Arusha ni kijiji kikubwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…