Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

Mkuu, naweza nikakuuliza kuhusu mashamba hapo ulipo. Gharama ikoje? Je yanafaa kulima mazao gani? Ni pa-kame ama ni pa-kijani(ardhi ina rutuba)
 
Mkuu, naweza nikakuuliza kuhusu mashamba hapo ulipo. Gharama ikoje? Je yanafaa kulima mazao gani? Ni pa-kame ama ni pa-kijani(ardhi ina rutuba)
Maeneo fulani Arusha panaitwa Kilombero ndio nimepata eka moja kwa milioni mbili na nusu. Pana rutuba. Panafaa kwa kilimo cha maharage au kwa ufugaji
 
Maeneo fulani Arusha panaitwa Kilombero ndio nimepata eka moja kwa milioni mbili na nusu. Pana rutuba. Panafaa kwa kilimo cha maharage au kwa ufugaji
Shukran mkuu, ila hapo Kilombero ni wapi ama ni karibu na wapi maana napajua Kilombero sokoni tu. Je ni huko karibu na Usa-river ama?
 
Ni mbele ya Kiserian barabara hiyo inayokwenda maeneo ya Kiteto. Kama uliwahi kufika mnada wa Lokii basi ni mbele zaidi ya hapo
 
Daah hela hizi nimecheka sana yaani Mtu anauliza shamba la heka moja kwa Tsh 1 M sio kwa Arusha sio..
 
Huko Arusha Hadi ya laki yapo, ila mbali mno na mji, unakuta maji hakuna labda uchimbe, na miundo mbinu mibovu. Nina rafiki yangu alinunua eka kama mia nadhani, ila kufika sasa.
Alinunua wapi? maana natafuta pia shamba kwa bei hiyo
 
Reactions: Tsh
Alinunua wapi? maana natafuta pia shamba kwa bei hiyo
Ilikuwa mwaka 2015 kama sikosei, eneo lina jina la kimasai silikumbuki, olyomononyi au oltomononyi sina kumbukumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…