Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

Sahihi kabisa, tunapaswa kuangalia eneo husika kwa mtazamo / tathimini ya Miaka 10 ijayo, miaka 20 ijayo na kufanya maamuzi sahihi.
 
Sawa kabisa. Kwanza nimeona Rais anasema anataka kujenga barabara ya njia nne mpaka Morogoro. Hivyo ukanda wa kibaha, Mlandizi, Ruvu, Vigwaza mpaka chalinze patakuwa na thamani ya juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…