Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

I agree with you ....Nimechukua plot Kibaha kongowe kata ya Msufini karibu kabisa na Station ya standard gauge railway (SOGA) tayari kuna maeneo yametengwa kwa ajili ya viwanda, Barabara zishaanza kuchongwa ...Kibaha is the best compare to Kigamboni
Umbali kutoka city centre to Kibaha kongowe ni 40km
Distance from City centre to kigamboni buyuni ni 50+ km
Hapo kwa mwenye kufikiria vizur atajua wapi akainvest
Coz kwa 1.5m+ ndo unaweza ukapata kiwanja kigamboni tena huko Buyuni ndani ndani..na pia kwa bei hiyo hiyo unapata Kibaha

Distance from City centre to Chalinze ni 100km ...Upo uwezekano mkubwa wa kuja kutanuliwa barabara ya Dar to chalinze ikawa double road

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisa, tunapaswa kuangalia eneo husika kwa mtazamo / tathimini ya Miaka 10 ijayo, miaka 20 ijayo na kufanya maamuzi sahihi.
 
I agree with you ....Nimechukua plot Kibaha kongowe kata ya Msufini karibu kabisa na Station ya standard gauge railway (SOGA) tayari kuna maeneo yametengwa kwa ajili ya viwanda, Barabara zishaanza kuchongwa ...Kibaha is the best compare to Kigamboni
Umbali kutoka city centre to Kibaha kongowe ni 40km
Distance from City centre to kigamboni buyuni ni 50+ km
Hapo kwa mwenye kufikiria vizur atajua wapi akainvest
Coz kwa 1.5m+ ndo unaweza ukapata kiwanja kigamboni tena huko Buyuni ndani ndani..na pia kwa bei hiyo hiyo unapata Kibaha

Distance from City centre to Chalinze ni 100km ...Upo uwezekano mkubwa wa kuja kutanuliwa barabara ya Dar to chalinze ikawa double road

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa. Kwanza nimeona Rais anasema anataka kujenga barabara ya njia nne mpaka Morogoro. Hivyo ukanda wa kibaha, Mlandizi, Ruvu, Vigwaza mpaka chalinze patakuwa na thamani ya juu sana
 
Back
Top Bottom