Wapi Dar naweza kupata kiwanja cha milioni mbili?

Halafu wewe acha ujinga Mlandizi makazi mpya nani amekwambia kuwa heka ni mil 15?
Wakati heka ni mil 4 tu..
 
Karibu Chanika mwisho, kwa mheshimiwa mpango viwanja bei nzuri na kinapakana na barabara. Vinaanza na Mil 2 hutakuja juta ..nichek 0629700908.


 
Ukiwa. Dar
Unaweza. Kusema.hivo.moro
Rod. Karibu
Na.barabarani
Hakuna
Sehemu
Inauzwa. Rahis
Watu
Wengi.wanahamia.huko.wanasogea.karibu.nabandari.kavu
Kama ni karibu na ile barabara ya bandari kavu kule sahv pashakua hot
Siku za weekend watu wanaenda sana kutembelea viwanja vyao .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanika kuna kiwanja inatakiwa 2m chapuchapu,1km toka main road,ukubwa 600sqm.Nicheki 0677089280.
 
LABDA KIWANJA CHA KULA BATA WEEKEND NA PENYEWE MILIONI MBILI HIYO NI NDOGO. njoo PM nikuelekeze Machimbo ila anza na Wavuvi Kempu Coco Beach. Pale local beer ni elfu 7 na imported beer (Heineken, Windo, Savanna Desperado) elfu 9, vikali vinauzwa bei tofaut tofauti hadi 435,000 Hennessy
 
Kipo chanika HOMBOZA
Robo heka (35 kwa 20)
Kinataka laki 9 tu.
Nakubaliana na wee uko ndani mvuti ndani Sana viwanja laki Tisa Tisa na milion Ni za kumwaga Kuna jamaaa angu kanaunua Cha laki tano kaonga demu Basi jamaa alipewaa mapenzi bila kipimo nae demu kichwa kichwa alianaza kuwaosheaa wezakaa kuwa anamiliki kiwanja dsm [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…