Wapi mnapata pesa za kujenga wandugu? Mbona kwangu naona chenga tu?

Imepita siku kadhaa toka niandike huku,wengine walitaka muendelezo ila kwa kuwa nilikuwa bize sana sikuweza kuandika.
Kusema kweli kama nilivyosema huko mwanzo mimi ni hustler sana,kwenye swala la kutafuta pesa sinaga haibu na utani kabisa,
Baada ya kusoma comments zenu humu nilipandwa na mzuka wa kusaka pesa kwa njia yoyote bila ya kumtoa mtu roho,nimegundua mtu usijionee huruma ikane nafsi yako.

Kama nilivyosema mwanzo nilichokiandika kina uhalisia wa maisha yangu sijatunga chochote haya ni maisha yangu fo real.
Week 2 zilizopita kuna biashara nimepiga ya magendo na nihatari sana,nimegundua biashara zote hatari zina pesa nyingi.

Hiyo biashara siiwezi kuitaja hapa.......

Baada ya kupiga hiyo biashara nimeipata pesa nikanunua robo heka ya kiwanja huko pwani,View attachment 2800025
Hii ni hati ya kiwanja changu.
Nmenunua tarehe 29,MUNGU NI MWEMA SANA
👏 👏 👏 Hongera kwa kuamka tena. Hakuna kisichowezekana.
 
Unatakatisha pesa.
 
Ungemalizia tu story tungekuelewa......japo umepata kiwanja ila yawezekana kuna vitu watu wangekusaidia
 
Imepita siku kadhaa toka niandike huku,wengine walitaka muendelezo ila kwa kuwa nilikuwa bize sana sikuweza kuandika.
Kusema kweli kama nilivyosema huko mwanzo mimi ni hustler sana,kwenye swala la kutafuta pesa sinaga haibu na utani kabisa,
Baada ya kusoma comments zenu humu nilipandwa na mzuka wa kusaka pesa kwa njia yoyote bila ya kumtoa mtu roho,nimegundua mtu usijionee huruma ikane nafsi yako.

Kama nilivyosema mwanzo nilichokiandika kina uhalisia wa maisha yangu sijatunga chochote haya ni maisha yangu fo real.
Week 2 zilizopita kuna biashara nimepiga ya magendo na nihatari sana,nimegundua biashara zote hatari zina pesa nyingi.

Hiyo biashara siiwezi kuitaja hapa.......

Baada ya kupiga hiyo biashara nimeipata pesa nikanunua robo heka ya kiwanja huko pwani,View attachment 2800025
Hii ni hati ya kiwanja changu.
Nmenunua tarehe 29,MUNGU NI MWEMA SANA
Tutakufatilia mpka tujue ni biashara gani ya magendo ulifanya

Utajuta kuzaliwa mnaacha kufanya kazi halali mnarukaruka Tu

Tanzania tunataka raia wema

Utawa..haditha wenzako wenye tabia kama zako

Pumbavu
 
Back
Top Bottom