92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Ila au sio.Ila kwa hapa bongo vyumba vipo juu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila au sio.Ila kwa hapa bongo vyumba vipo juu sana
Kuna chumba cha 20 kipo town?Ila au sio.
Kwani upo mkoa gani kwanza maana hata chumba cha bure dar unapataKuna chumba cha 20 kipo town?
Nipo darKwani upo mkoa gani kwanza maana hata chumba cha bure dar unapata
Miksa kutuasa tuache kuoa.Ulianza vzuri ila sasa unataka kuwa mtunzi wa Riwaya...dialogue za nn...ushalewa
Pole sanaNipo dar
Sawa mkuuKama natizama movie vile,very interesting.
Tunapenda kuoa ila wanawake wengi akili hawna,ukijifunga kwenye kuoa kaa ukijua umedumbukia kwenye tanuru la moshi,na majuto yake utayaona baadaye.NImegundua kwamba wazaliwa wa chuga hawaoi, wao ni sogea tuishi tu..tabia mbaya sana.
Pole lakini, endelea kupambana
Unaishi nae miaka 20 unasema akili hana. Basi ujinga wake ndo unakufanya uishi naeTunapenda kuoa ila wanawake wengi akili hawna,ukijifunga kwenye kuoa kaa ukijua umedumbukia kwenye tanuru la moshi,na majuto yake utayaona baadaye.
Kwani ujawasikia wanandoa wameuwana??
Itakuja roho pekee mwili vumbi tuuuukifufuka?
Sawa kakaStory nzuri leta muendelezo tu Mkuu......na episode iwe ndefu ndefu
Ila pole asee kwa mtihani uliyopitia na unayopitia......La muhimu ongeza sala tu kwa mwenyezi MUNGU kwa imani atengeneza njia .....Sawa kaka
Duh! We mzee ni mchakarikaji kama Mazaa ako. Una akili nzuri lakini Huna maamuzi. Ulitakiwa usiwe na mwanamke pamaneti kabla hujayafikia malengo ya msingi. Kwa mwaka 2017 ungeweza kupata kiwanja Mbagala KISEWE kwa milioni 2 ulizokuwa nazo. Halafu ungejenga urafiki na Mangi wenzio ili uwapate akina Manka. Ungeweza kusogea.Habari wa ndugu wa tanzania??
Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa machungu sana na kuna kitu kipo kwenye koo kinanifanya machonzi kunilenga lenga kwa huzuni juu ya maisha yangu.
Sijaandika haya ilinipate comment nyingi au kuhave fun,lakini nimeandika nikiwa na uhalisia kwa kile nachokipitia katika maisha yangu.
Nina umri wa miaka 33,nina mke na watoto 2,mwanamke mwenyewe sijamuoa kwa ndoa wala nini,ni ile sogea tuishi,mwaka 2018 ndio niliyeamua kuishi naye sasa toka kipindi hicho maisha kwangu yamekua magumu sana.
Mimi mzaliwa wa ARUSHA,nilikuja dar 2016 baada ya kusota chuga kutafuta kazi bila mafanikio,maana nilihitimu chuo 2015 na toka kipindi hicho nimesota kutafuta kazi bila mafanikio yoyote.
Niliamua kuja Dar kutafuta maisha baada ya kuchoka kuishi home na kula ugali wa shikamoo ndio nikaja Dar 2016,baada ya kuja Dar nilifikia maeneo ya ubungo kibangu nakumbuka nilikua na 300000 niliyopata kwa kazi ya kuchimba msingi na saidia fundi,mpaka kuikusanya hiyo pesa nilisota asikuambie mtu,kuchimba mashimo ya vyoo na kujaza vifusi kwenye nyumba za watu.
Baada ya kufika ubungo kibangu,nilifikia kwa brother kipindi hicho kaka alikua na duka la bidhaa za nyumbani,ila duka hilo lilikua lishaanza kufilisika maana alikuwa na kesi na mwanamke mmoja aliyezaa naye mtoto alimsingizia amemfira kipindi akiwa mjamzito.
Basi brother akawa ashindi dukan kila siku akawa anaenda mahakamani mpaka duka likafilisika na kujikuta Anarudi Bush KILIMANJARO,ndio kipindi hicho ndo nilikua nimefika Dar,nilikua nasiku 3 tu kufika Dar na mwenyeji wangu anaamua kurudi bush.
Nikiwa na 300000 nilitafuta chumba maeneo ya kibangu nikapata chumba cha 35000 mwenye nyumba alitaka kodi ya miezi 6 nilimbeleza sana nimpe kodi ya miezi 3 aligoma katu katu basi nikampa 210000,kwenye ile 300000 nikabaki na 90000 kutoa pesa ya Dalali 35000 nikabaki na 55000,nikakabidhiwa ufunguo wa chumba nikiwa sina chochote zaidi ya begi langu.
Basi ile 55000 nikaenda pale darajani, ubungo nikauziwa godoro la futi 4 ulimi kwa 25000 nikanunua maji ya kunywa, carton 1 kwa 3000,mapazia 2 ya 8000 kwa 16000 mpaka hapo nkawa nimetumia 44000 kwenye ile 55000 nikabakiwa na 11000.
Siwenzi kuandika yote hapa mambo ni mengi sana
Nimezaa naye watoto 2Duh! We mzee ni mchakarikaji kama Mazaa ako. Una akili nzuri lakini Huna maamuzi. Ulitakiwa usiwe na mwanamke pamaneti kabla hujayafikia malengo ya msingi. Kwa mwaka 2017 ungeweza kupata kiwanja Mbagala KISEWE kwa milioni 2 ulizokuwa nazo. Halafu ungejenga urafiki na Mangi wenzio ili uwapate akina Manka. Ungeweza kusogea.
Hata hivyo, bado hujachelewa; toa NOTICE ya kumuacha huyo mwanamke na mwachie kila kitu. Kwani sh ngapi? Umepata fundisho, ANZA UPYA nebuchadnezzar
Naendelea ndugu yangu iceMkuu umemaliza kuandika hii thd au kuna muendelezo?