mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Kwani ww ndugu zako wote wameolewa kwa ndoaUnawezaje kuishi na mtoto wa mtu bila ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ww ndugu zako wote wameolewa kwa ndoaUnawezaje kuishi na mtoto wa mtu bila ndoa
Nikitoka kanisaniItaendelea ln
Nipo kanisanikanisani tena
🙏Pole sana mkuu
👍Inspirational stories.
Mi pia naona hii inaelekea kuwa chai,uandishi unaongea...Chai Chai
Sio chai kabisa ni maisha hasili ninayopitia,sasa niandike chai ili iwaje?je nitafute umaarufu na nikishapata huo umaarafu faida yake nitakayo ipata ni ipi??Mi pia naona hii inaelekea kuwa chai,uandishi unaongea...
Inaendelea
ukiisha hivi..
Kimbembe kilianza pale nilipokutana na huyu mwanamke...
Ok twende pamoja.
Ndugu zangu kipindi ukiwa hohe hahe hakuna mtu atakuwa na habari nawe ila ukishashika pesa kidogo tu na kuhakikishia hata wale ndugu walikuwa hawakupigii simu wataanza kukutafuta,na mademu wataanza kukusifu wewe handsome hata kama sura yako hayiridhiki.
Tuachane na hayoooooo
.
Ndugu zangu unaambiwa hivi katika maisha yako kosea barabara utaelekezwa,kosea nyumba utabomoa,ila nakuambia usikosee kuoa au kuishi na mwanamke,aisee usikosee ndugu zangu..
Katika utombeshaji niliofanya kwenye maisha yangu ni kukosea kuishi na huyu mwanamke,najuta kila kukicha sina amani katika maisha yangu,kila siku najuta ndugu zangu.utajiuliza kwanini nalalamika hivi sasa twende kazi ili mjue kuna wanawake wengine majini,usione wanaume wenzenu wanajiua mkajua wapuuzi na wajinga,aisee hakuna kitu kibaya kama mawazo...ogopa depression hero
Twende kaziiii....
Picha linaanza hivi,ile siku niliyekutana naye mabibo sokoni nachukia sana.
Ilikuwa mida ya saa 5 baada ya kumkusanyia yule Dada vitu vyake vya gengeni,nilikuwa nimeponzi kwenye moja ya meza ya mshikaji wangu wa damu kabisa,jua lilikiwa kali sana nkaona twoga zinapita nikaita weee muuza twoga leta moja.
Aisee kumbe anayeuza twoga alikuwa ndo huyu mwanamke anayenichanganya daily,demu kweli kajaliwa tako ndo kitu kilichonifanya niombee namba,mimi napenda sema demu mwenye tako,ndo ugonjwa wangu huo..
Mwanamke bila hiyana akanipa namba yake,Siku zikapita kama mbili nikakumbuka kuwa kuna namba nilisave kwenye simu yangu,nikamchokoza kwa SMS
Mimi-mambo mdada,
Yeye-bila kuchelewa akajibu powah,
Mimi-Leo sijakuona sokoni!
Yeye-nimeenda kwa mwaponsa Leo,
Mimi-mhhh kumbe umeokoka,
Yeye-hapana kanisa hili sio la wal
Okole,
Mimi-ok umeniombea??
Yeye-nimeombea watu wote
Tanzania,
Mimi-ok tuyaache hayo,ujue
Nimevutiwa nawe??
Yeye-akaguna mhhhh.
Mimi-unaguna nini??
Yeye-hamna sikutegemea kama
Ungeniambia hivi.
Mimi-kwanini??
Yeye-unaonekana mstaarabu.
Mimi- ndio,tena sana.
Yeye-ndo maana nimegouna,
Mimi-nikakoleza nakupenda..
Baada ya kumwambia nampenda akanyamaza kimya kidogo,hakuchart tena nkaona nimpigie simu siunajua hawa Dada nzetu hawana confidence yakuonge na mwanaume kuhusu maswala ya mapenzi.
Kweli nikampiga sound la haja binti kajaa kulichofuata ni historyyy.
Hmmmm inakuja inakataa enewei lete mambo hayo huwqga wanaandika kwenye notebook ya simu wasave then utakua wakop na kupaste tuh mkuu nusu nusu jauInaendelea.
Habari zenu wandugu??
Jumapil imetulia vyema,japo umeme wamechukua masnitch tanesco ila hakuna kitakacho haribika.
Kama nilivyosema hapo mwanzo hii ninayoandika ni mimi niliyopitia,nashangaa kuna watu humu wamekuwa daima wanaamini kila uongo wasikiacho au kukisoma,kama unaona nilichokiandika ni chai ni wewe na roho yako kivyako..
Tuachane na hayo..
Twende moja kwa moja baada ya kuchakatua mbususa wa huyo mwanamke wa kinyakyusa,ni kama nilimloga aisee maana kipindi hicho alikuwa anaishi kwa Dada ake.
Akawa anatoroka kwa Dada ake nakuja kwangu maana kwa Dada ake na kwangu sio mbali kivile,demu akanogewa na muhogo kutoka chuga,mda wote anataka nimkune, usiku anatoroka nakuja kwangu nikamwambia aende kwao hataki,dada yake akapeleleza mpaka akajua ni mimi ninayo msababisha kutoroka kwao,basi dada akanifuata nikamuelekeza huwa anakujaga kwangu,nikamwambia asiwe na wasiwasi nipo naye,basi nikapewa uhuru wakuwa Nate.
Binti siaka hamia kwangu manzima,na begi lake la shangazi kaja kipindi anakuja manzima kwangu tayari alishapata ujauzito,basi tukaishi vyema huku nikiparangana na mbishe zangu za library na sokoni.
Kweli nililea ile mimba mpaka kufika WAKATI wa kujifungua,nikajiandaa vyema kumpokea mtoto wangu,kwa sisi wachaga mtoto wa kwanza lazima alelewe na Bibi yake au Dada zako,basi nikampeleka chuga kujifungua.
Basi kweli mwisho wa siku akajifungua mtoto wa kiume,aisee nilifurahi sana maana nilishahapaga lazima Mama yangu hamuone mjuu wake kabla hajafa,basi mzee Baba nikawa natuma pesa za kula uzazi,aisee binti alinenepa na kupendeza sana maana wa Mama wa kichaga wanajua kulea sana wajawazito.
Baada ya miezi kadhaa kuptia mwanamke akaanza vituko kwa Mama mkwe,mama yangu mimi ni mfanya biashara soko kuu la Arusha,huwa ndani anajaza kila kitu mchele,mafuta,unga ,sabuni n.k sasa mwanamke akawa anavigawa kwa majirani,lila akimuuliza mbona vitu vinaisha mapema anajibu vinatumika,hivi kweli mchele kilo 10 unaweza kuisha kwa siku 5??ukicheki nyumbani yupo yeye na Mama tu Dada zangu wameolewa.
Akawa hashindi nyumbani tena mda wote anashinda kwa majirani,afanyi chochote kama kumsaidia mama kuchota maji na usafi,akihamka siku nzima anashinda kwa majirani kazi kupiga umbeya,nikaona Bora nimtumie nauli aje Dar.
Basi toka aje Dar hakuna hata ndugu yake aliyekuja kukucheki,na kumpa hongera kwa kupata mtoto nikasema ishalaah yote DUA basi mzee Baba nikaendelea kumlea vyema bila hata ya tabu yeyote.
Nitajitahidi kuandika kwa kirefu baadaye simu inaisha Charge huku nilipo wamekata umeme toka jana jioni,samahani sana wa ndugu
SawaHmmmm inakuja inakataa enewei lete mambo hayo huwqga wanaandika kwenye notebook ya simu wasave then utakua wakop na kupaste tuh mkuu nusu nusu jau
Sawa nitaandika Leo usikuKwakuwa umeamua kuifanya story iwe series andika epsode ndefu kama jamaa fulani wa Mara anaitwa UMUGHAKA. Alikuwa anaachia epsode moja ya maana, akishusha ya pili siku imeisha. Sasa wewe unaandika hizi text kama unachati
Tena if possible andika epsode moja tu. Ukiwa unapata muda andika unaisave, endelea hivyo siku ukimaliza weka moja tu. Ulianza thread kama swali lakini umeifanya kuwa hadithi ya mwendelezo halafu unaandika kifupi sana,Sawa nitaandika Leo usiku