πππ mwenyewe siku naiona bucci nilichoka.πππ nimecheka yani huyo achinjwe xmas kazingua na kaharibu kabisa Bucci tenaah.!!
Km slippers za ZARA mchina katoa copy zake kaziandika ZABA ili kuwafariji wanunuzi.!!
πππ wachina makanjanja sana yani ni tafrani vitu vyao, wanaogopa piracy ndio ya brand husika wanaweza kuwashtaki.!!πππ mwenyewe siku naiona bucci nilichoka.
Ila mchina utadhani Yesu,hashindwi na jambo.π
Kuna ADODAIS pia.
Nadhani hizi ZABA na ADODAIS n
k nadhani anafanya hivi kukwepa kesi ya piracy.
π€£π€£π€£ Sis kweli mwenyewe nilichoka simu inaita nasubiria kujionea li iPhone 15 Pro pap naona kitochi nilichoka.!!πππ π dogo unanipiga fix ujueπ
Nimecheka hadi tumbo linauma.
Mzee wa bucci anajikubali sana hlf hiyo bucci ni ile girlish pink sasa.Mtu mmoja poa sanaπππ wachina makanjanja sana yani ni tafrani vitu vyao, wanaogopa piracy ndio ya brand husika wanaweza kuwashtaki.!!
Mzee wa Bucci anakwambia bongo bahati mbaya πΉπΉ
πππ Wanajionaga Chris Brown wa bongo hao, watu km hao stress free mi nawakubali sana.!!Mzee wa bucci anajikubali sana hlf hiyo bucci ni ile girlish pink sasa.Mtu mmoja poa sana
πππππ€£π€£π€£ Sis kweli mwenyewe nilichoka simu inaita nasubiria kujionea li iPhone 15 Pro pap naona kitochi nilichoka.!!
Sijui alirekodi au mchina mwenyewe kaamua kunifyatua fyuzi π
Hakuna kinachowashinda anakwambia quality inaendana na pochi yako πππππππ
Itakua mchina aliamua jambo lake.ππ
Kweli kabisa mdogo wangu.πππ Wanajionaga Chris Brown wa bongo hao, watu km hao stress free mi nawakubali sana.!!
πππ umefanya ncheke kwa sauti lol.!Kweli kabisa mdogo wangu.
Hata the late Jobs alisema haijalishi saa yako ni ghali na yake ni cheap kiasi gani zote zinaonesha muda,benz or bajaji wote tutafika.Lamomy ana shower gel 6 pridah 1 wote tunaoga na mjini tunaendaππ.
πππ nimecheka had machozi aisee.!!πππ kuna tu sendoz nilinunua kwa wale wa whatsap,vinafika kimoja kinapwaya kimoja kinabana lkn vyote size 37ππ
kumbe upo na ID hii. umenichosha kukujibu kuleπππ umefanya ncheke kwa sauti lol.!
Mi nna tamaa hapa umenikumbusha ya MEDIX na DOVE zinakaribia kuisha nikanunue.!!
Wewe itabidi nikuforce uwe na shower gel nyingi au nikununulie mwenyewe nikutumie πΉ
πππ Umenimiss?kumbe upo na ID hii. umenichosha kukujibu kule
Sana tuπ¬πππ Umenimiss?
Haya ntakucheck mamah sheillah
Nakutafuta kule sikuoni nilitoka mara moja πΉSana tuπ¬