Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?

Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?

Ni kweli na una nafasi ya kuelimisha umma ila all in all, hata kama sio riba ni faida ila hawezi kuchukua 10M akarudisha kiasi kile kile.
Vyovyote iwavyo, hilo ni suala la mfumo tu ambao watu wameamua kujiwekea. Kwa mazingira ya Tanzania ni kweli, hasa kwenye sekta rasmi.
 
Soma vitabu vyote duniani, viwe biashara, uchumi au dini, hautakuta mtu mwenye akili zake timamu akaandika riba ni faida.

Hii ya kuwa riba ni faida huwa naikuta humu JF tu.
ndo tunakuuliza riba ni nini??

riba unawekewa mteja kama gharama ya kukaa na pesa
Kwa anaekukopesha hyo ndo faida yake
 
Soma vitabu vyote duniani, viwe biashara, uchumi au dini, hautakuta mtu mwenye akili zake timamu akaandika riba ndio faida.

Hii ya kuwa riba ndio faida huwa naikuta humu JF tu.
Riba ni return on investment na faida kwa mkopeshaji.

Pia hiyo faida unayodai benki za sharia zinatoza iko in monetary terms. Na riba vilevile ni monetary terms, sasa tofauti nini?

Rushwa ya laki moja ukiita mkono mrefu, chochote kitu, chai, takrima, ya soda au vyovyote inagoma kuwa laki?
 
Mkuu hiyo mikopo unatoka kwenye ofisi ya mbunge wa Jimbo ya. Mfumo wa Jimbo sema ss kuzipata , ni mpaka uwe chawa wa mbunge wa chama ndio upewe,
Na kuna muda Eti hizo pesa Huwa zinarudi kisa zimekosa .matumizi ,ss hapo wakati zinarudi ndio wabunge hujichotolea zote.😎
 
Riba ni return on investment na faida kwa mkopeshaji.

Pia hiyo faida unayodai benki za sharia zinatoza iko in monetary terms. Na riba vilevile ni monetary terms, sasa tofauti nini?

Rushwa ya laki moja ukiita mkono mrefu, chochote kitu, chai, takrima, ya soda au vyovyote inagoma kuwa laki?
Kwa hiyo huko shule ulipoenda kusoma ndio ukaelewa hivyo, sio!

Kimantiki hujui tofauti ya riba na faida.
 
Back
Top Bottom