Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
- Thread starter
- #21
mapambano yaendeleeNi kweli na una nafasi ya kuelimisha umma ila all in all, hata kama sio riba ni faida ila hawezi kuchukua 10M akarudisha kiasi kile kile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mapambano yaendeleeNi kweli na una nafasi ya kuelimisha umma ila all in all, hata kama sio riba ni faida ila hawezi kuchukua 10M akarudisha kiasi kile kile.
Faida inatoka wap wakat hamna riba??Elimu inahitajika hapa.
Haiwezekani mtu mzima ukaamini faida ndio riba.
Akili za kuambiwaNenda kwa waislamu! Wanakopesha bila riba! Kwao riba ni haramu! Hata wakienda benki wanakopeshwa bila riba
Soma vitabu vyote duniani, viwe biashara, uchumi au dini, hautakuta mtu mwenye akili zake timamu akaandika riba ndio faida.Faida inatoka wap wakat hamna riba??
hailet sense anyway!
wavaa makobasi kuna upumbavu fulani huwa mnakua nao ni wa milele
Vyovyote iwavyo, hilo ni suala la mfumo tu ambao watu wameamua kujiwekea. Kwa mazingira ya Tanzania ni kweli, hasa kwenye sekta rasmi.Ni kweli na una nafasi ya kuelimisha umma ila all in all, hata kama sio riba ni faida ila hawezi kuchukua 10M akarudisha kiasi kile kile.
ndo tunakuuliza riba ni nini??Soma vitabu vyote duniani, viwe biashara, uchumi au dini, hautakuta mtu mwenye akili zake timamu akaandika riba ni faida.
Hii ya kuwa riba ni faida huwa naikuta humu JF tu.
Mfia dini kavamia uzi😂😂😂oi tafuta uzi wa dini usinialibie uzi na jihadi zakoVyovyote iwavyo, hilo ni suala la mfumo tu ambao watu wameamua kujiwekea. Kwa mazingira ya Tanzania ni kweli, hasa kwenye sekta rasmi.
Riba ni return on investment na faida kwa mkopeshaji.Soma vitabu vyote duniani, viwe biashara, uchumi au dini, hautakuta mtu mwenye akili zake timamu akaandika riba ndio faida.
Hii ya kuwa riba ndio faida huwa naikuta humu JF tu.
Mwambie harmonize akukopeshe we si umemuweka kwenye avatar? Au harmonize ni basha wako?Wakuu!
Wapi napata mikopo mikubwa bila riba?
nipeni hints
alokwambia nani??
Azania ina riba kubwa kuliko hata nmb
Astagafir
Hilo ni chuma eleteRiba 27%.... Inaumiza sana sana sana
Ni Benki... 🥲🥲🥲Hilo ni chuma elete
Ni EXIM hao Nini? Maana huo ni ujambazi,Ni Benki... 🥲🥲🥲
Kwa hiyo huko shule ulipoenda kusoma ndio ukaelewa hivyo, sio!Riba ni return on investment na faida kwa mkopeshaji.
Pia hiyo faida unayodai benki za sharia zinatoza iko in monetary terms. Na riba vilevile ni monetary terms, sasa tofauti nini?
Rushwa ya laki moja ukiita mkono mrefu, chochote kitu, chai, takrima, ya soda au vyovyote inagoma kuwa laki?
Riba iko in monetary terms.Kwa hiyo huko shule ulipoenda kusoma ndio ukaelewa hivyo, sio!
Kimantiki hujui tofauti ya riba na faida.
Kwa hiyo kwa maelezo (unayoamini ni ya kweli) yako hayo ndio unahitimisha kuwa riba ni sawa sawa na faida.ndo tunakuuliza riba ni nini??
riba unawekewa mteja kama gharama ya kukaa na pesa
Kwa anaekukopesha hyo ndo faida yake