Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Pesa na gharama za kwenda huko ni kubwa. Kila mtu anataka kwenda ulaya na marekani shida ni gharama na visa zao ni complicated hata kuzipataKwanini hizo nchi na sio USA, Canada, Australia au Ulaya? Ni swali tu.
Taja fursa zingineFursa ni nyingi inategemeana na wewe kwanza kama ni biashara ana na kacha hizi za kwetu wapelekee vinyago vya kuchonga kama vile wanavyochonga kule mwenge hata biashara za nafaka kama Mchele kama umeenda kuangalia ingia kwenye migodi ya almasi kule Kuna pesa nazani katika dunia wachimbaji wakubwa ni wao
Kama huna mtu WA kukupokea Ila pesa unayo ya kutosha hawakuruhusuKwa uzoefu wangu niliofika kwa mda Cha kwanza hawa jamaa wapi makini sana kwa mgeni maswali ambayo watakuuliza cha kwanza unatakiwa uwe na show money isiopungua Dola 500 Cha pili unawenda wap au mwenyeji wako ni nani na huyo mwenyeji wako lazima wajue ana Kaa sehemu Gani na anajishuhulisha na nini na wakikugongea passport mda utaokuwepo kwao usije ukazidisha tarehe ya kukaa kwao ukizidisha Wana faini zao au jela na kingine hawa jamaa Wana ubinafsi sana kwa raia Mimi nilipoingia gaberon walipokagua passport yangu waliniuliza maswali mengi sana kabla hawajanigongea passport na kingine Cha muhimu sana epuka kumchukuwa mke wa mtu au x wa mtu wanawake ni wazuri sana na ukimwi ni mwingi sana na nchi nzuri sana ya kutafuta maisha hasa ukiwa unafanya biashara na biashara ambao itakayokuchomoa haraka ni biashara ya vinyago au kacha kama za huku kwetu na raia wengi hawapendi kufanya kazi ngumu maisha Yao asilimia kubwa ni ya bata
Inategemeana na mfuko wako pia na jinsi ulivyojipanga fursa ni nyingi bt zitaitaji uwe na pesa kwa sababu kama ni biashara umetoka nazo bongo lazima Kuna Kodi utalipa Kuna usumbufu wa hapa na paleTaja fursa zingine
Bro nipe connection, nitumie number y'a MTU wa botswana mtanzaniaInategemeana na mfuko wako pia na jinsi ulivyojipanga fursa ni nyingi bt zitaitaji uwe na pesa kwa sababu kama ni biashara umetoka nazo bongo lazima Kuna Kodi utalipa Kuna usumbufu wa hapa na pale
Nahis unaruhusiwa siuna pesaKama huna mtu WA kukupokea Ila pesa unayo ya kutosha hawakuruhusu
Wanakuruhusu si una pesa na lazima uwaeleze kwao utakaa mda Gani na umeenda kufanya niniKama huna mtu WA kukupokea Ila pesa unayo ya kutosha hawakuruhusu
Km hujawahi kufika utaona je hao wabongo.Kka nasikia namibia pazuri ila sijaona wabongo wakikaa huko
Namba niliyopewa nimtafute mtu wa botswana kanikung'uta tofali sijui nimemkosea nn Yani wabongo bhanaKm hujawahi kufika utaona je hao wabongo.
Unakuwa na pesa mkononi unawaonesha au?? Kama ni Bank watataka waone Salio au?Wanakuruhusu si una pesa na lazima uwaeleze kwao utakaa mda Gani na umeenda kufanya nini
Labda unafika....wanakuzonga zonga..unamthaminisha mmoja ..ukiona mnaweza wezana...unamwambia friend..look I have come here to search for an opportunity to work and live..I don't have anyone here, so please I may be lucky to find you, see I have 200 usd for you, pls be my host let the authority and other people know you expected me from Tanzania for a certain business introduction...haaah nawaza tu, kama ndo nimefika sina mtu ila atleast nmetembea na vidola kama 1000 ivi.Kama huna mtu WA kukupokea Ila pesa unayo ya kutosha hawakuruhusu
Atakudhania vinginevyo, Dunia imebadilika huwez mkurupua tu mtu accidentally hivyoLabda unafika....wanakuzonga zonga..unamthaminisha mmoja ..ukiona mnaweza wezana...unamwambia friend..look I have come here to search for an opportunity to work and live..I don't have anyone here, so please I may be lucky to find you, see I have 200 usd for you, pls be my host let the authority and other people know you expected me from Tanzania for a certain business introduction...haaah nawaza tu, kama ndo nimefika sina mtu ila atleast nmetembea na vidola kama 1000 ivi.
Nilisema jana hapa huwezi ku display namba ya mtu then useme tu watu wamtafute atawasaidia bila kumpa taarifa, lazima tu atawaona wajaidinaNamba niliyopewa nimtafute mtu wa botswana kanikung'uta tofali sijui nimemkosea nn Yani wabongo bhana
Anyway mm kesho niende TU hata sitak kukutana na watanzania waishio huko botswana maana hawana msaada kuomba TU msaada kaniblock
Mkuu Mm nimeamn watanzania kusaidiana ngumu sana,,sis tuna roho za uchuroNilisema jana hapa huwezi ku display namba ya mtu then useme tu watu wamtafute atawasaidia bila kumpa taarifa, lazima tu atawaona wajaidina
Unaweza ukawa onyesha benk statiment au ukawa onyesha cash bt Mimi waliniambia niwaonyeshe cashUnakuwa na pesa mkononi unawaonesha au?? Kama ni Bank watataka waone Salio au?
Hiyo ipo wazi mbona japo kuna wachache wapo wenye moyo wa kusaidia wenzao ila ndo mpaka uwapate sasa.Mkuu Mm nimeamn watanzania kusaidiana ngumu sana,,sis tuna roho za uchuro
Mkuu ni shida Mimi niliingia migration Yao huyo anaenikagua ni mdada nguo aliovaa nilishindwa kumwangalia mara mbili halafu Hana wasiwas alafu ni mzur haswaKiufupi hapafai kuishi na familia wala sio pakutafuta mke, nimesikia hizo habari sana, hata south pako ivoooo.
Mda mwingine mentality tunatofautiana. Wengi wanajua utamwomba pesa ndo shida inapoanziaNamba niliyopewa nimtafute mtu wa botswana kanikung'uta tofali sijui nimemkosea nn Yani wabongo bhana
Anyway mm kesho niende TU hata sitak kukutana na watanzania waishio huko botswana maana hawana msaada kuomba TU msaada kaniblock
Duuuh πππ,usalama wa pesa Yako ukoje..Unaweza ukawa onyesha benk statiment au ukawa onyesha cash bt Mimi waliniambia niwaonyeshe cash
Nimesema nitajigaramikia Kila kitu mm mpaka hotel yeye Kaz yake kunielekeza tuuMda mwingine mentality tunatofautiana. Wengi wanajua utamwomba pesa ndo shida inapoanzia