Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kama umechoka na maisha ya bongo ninakushauri katika nchi ulizozitaja bora uende nchini Botswana katika nchi za bara Asia nenda Japan au South Korea Au brunei..Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa
Au Morocco na nchi nyingine ongezea.
Bongo sitaki,
Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM au hapa hapa
Katika nchi za Bara la ulaya nenda ireland au Sweden, au Ujerumani, au Switzerland, au Belgium Au Kanada au Australia
Nipe Tarehe uliyozaliwa na mwezi wako nipate kukupa ushauri wa nchi gani ya dunia inayo kufaa kwenda kuishi na kuweza kufanikiwa kimaisha