Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

Sehemu nyingine mbezi mtaa wa muhimbili sehem inayoitwa uzunguni vipo vya 30 pia
Kama utatoa udalali ntafute nkuunganishe na mtu anayevipangisha ambaye ni dalali
 
Sehemu nyingine mbezi mtaa wa muhimbili sehem inayoitwa uzunguni vipo vya 30 pia
Kama utatoa udalali ntafute nkuunganishe na mtu anayevipangisha ambaye ni dalali
Mkuu nitakupa hela ya bando kwa sasa hali yangu ya kiuchumi sio nzuri
 
Namuunga mkono, tena aende Mbagala MATOMBO
Mnaichukulia mbagala poa sana nyie watu
😁😁😁😁😁
Oa mbagala kuna chumba kina umeme na huduma za jamii zote zipo ila location iliyopo sasa ndo kinafanya kionekane jau

Mkuu unapajua mianzini ndani ndani kule..
Nyumba zimebandana kwenye korongo/sijui kichuguu kile an hovyo hovyo....
 
Mkuu hata pisi za mbagara zina rangi tatu tatu
 
Sitaki cha mbali sana na city centre
Mfano unaeza pata kimara then ukitoka posta/kkoo kwa mwendo kasi ukishuka unapanda bajaji buku kwenda buku kurudi mara 30 days 60k ukiongeza Kodi 90k jumla inakua Bora utafute chumban cha 60 au 70 karbu na barabara unakua NI kupanda mwendo kadi tu
 
Ndo Kuna makazi ya bei hiyo baba swaumu

Sasa mimi nakaa makumbusho chumba cha bei ndogo laki moja na hatapata kwa bei ya 30000
Naona umetoa comment zaidi ya moja kuhusu mbagala..
Mbona wewooo.. kusema mbagala huko tupo chip hvo..

Updates mkuu now mi na swaumu tushazinguana now nipo na malaika wangu Jannet....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…