Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

Hakuna cha chendu hapo mkuu🤣🤣🤣, hilo jina linapunguza makali ya kipini cha puani tu
 
Tandale ila paa lipo kama pazia mvua yote yako , ukuta unatoboa hata na kidole
 
Watu wanamponda kwa unafiki, ila vinapatikana sehemu nyingi sana Dar es salaam,

Dar kuna bidhaa za kila bei. Ubora tu ndio zinapishana
Mfano kwa kigamboni nitapata sehemu gani mkuu?
 
Mbagara mission ukiingia ndani kuanzia CCM, kijichi mpaka mbagara kuu. Single room lakini choo nje kwa 30K unapata chumba kizuri tu. Ila hayo mageto ni makazi pendwa ya mabaamedi na wadangaji kwaiyo masuala ya kuona kila siku wanaingia wanaume tofauti tofauti inbidi uyazoee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…