Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

Oky mkuu hili tundu kazi yake kubwa ule mda anachezwa kabla ya kuja kuolewa huwa wanamfusha Chendu.. chendu ni jamii ya hereni kama ya kiihindi ambayo hii kazi yake ni kufundishwa ni jinsi gani ya kumlea mtoto wa kiume kama mwanae...
😁😁😁😁😁
Hakuna cha chendu hapo mkuu🤣🤣🤣, hilo jina linapunguza makali ya kipini cha puani tu
 
Tandale ila paa lipo kama pazia mvua yote yako , ukuta unatoboa hata na kidole
 
Mbagara mission ukiingia ndani kuanzia CCM, kijichi mpaka mbagara kuu. Single room lakini choo nje kwa 30K unapata chumba kizuri tu. Ila hayo mageto ni makazi pendwa ya mabaamedi na wadangaji kwaiyo masuala ya kuona kila siku wanaingia wanaume tofauti tofauti inbidi uyazoee
 
Back
Top Bottom