Wapi nitapata gari za mkoani Arusha Usiku

Nenda mwananyamala karibu na ofis za dawasa ulizia jamaa wanaitwa Geamos, wanasafirisha percel Moshi na Arusha , usiku wanapakilia abiria Rombo/Kibo.
 
Nitafute, naondoka leo saa 1 jioni kuelekea Moshi na klugger yangu, ila uwe na 50k mkononi.
 
Ulete mrejesho itasaidia sana.
 
Ukiamua kupanda magari yanayopeleka magezi siwezi kukuambia eti unaweza pata ajali maana ajali ikipagwa imepangwa hata gari likienda taratibu kama mkokoteni wa punda anaweza kuja mjinga mjinga akakugonga kwa nyuma ila ninachokuasa tu hakikisha uwe na roho ngumu sana kupanda hayo magari.CMimi binafsi siwezi ya jaribu hata kwa dawa naweza kufa kwa pressure kabla sijafika hata Wami.
 
Jamani nimefika Ubungo Sheli nimepata coaster soon linaondoka!
Ila hii safari nimepania mno mpaka nahisi kifo kinaniita! Na sina naloenda kufanya huko bali nimemiss tu wazazi ila nimeshindwa kusubiria kesho yaani roho haikubali kabisa! Soon naanza safari.
 
Nilipanda kuelekea Mbeya Noah moja ya magazeti daa yaani wadau ni wanajuana na matrafic Wa usiku balaa
Gari inatembea kama ndege mnahisi haina mataili

Kuondoka SAA 5 usiku kufika saa 1 asubuhi Uyole Mbeya.
 
Mwenge pale puma sheli unapata faster. Kuna majamaa wapo pale hadi kuna kibenchi. Na mishkaki mitamuu
 
Nilipanda kuelekea mbeya Noah moja ya magazeti daa yaani wadau ni wanajuana na matrafic Wa usiku balaa
Gari inatembea kama ndege mnahisi haina mataili

Kuondoka SAA 5 usiku kufika saa 1 asubuhi uyole mbeya.
Duh. Labda hapo ulewe vinginevyo huwezi panda
 
Unga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…