Wapi nitapata gari za mkoani Arusha Usiku

Wapi nitapata gari za mkoani Arusha Usiku

Nenda mwananyamala karibu na ofis za dawasa ulizia jamaa wanaitwa Geamos, wanasafirisha percel Moshi na Arusha , usiku wanapakilia abiria Rombo/Kibo.
 
Nitafute, naondoka leo saa 1 jioni kuelekea Moshi na klugger yangu, ila uwe na 50k mkononi.
 
Habari wakuu!

Nahitaji kujua kama kuna usafiri wowote wa jioni au usiku wa kwenda Arusha!

Nimepata dharura nahitaji kusafiri jioni/usiku wa leo huko na nimezoea kusafiri na mabus ya kawaida tu! Nimefatilia Kilimanjaro Xprs safari za usiku wamesitisha kwa mda!

Msaada wenu tafadhali wapi naweza usafiri wa jioni wa kwenda Arusha.
Ulete mrejesho itasaidia sana.
 
Ukiamua kupanda magari yanayopeleka magezi siwezi kukuambia eti unaweza pata ajali maana ajali ikipagwa imepangwa hata gari likienda taratibu kama mkokoteni wa punda anaweza kuja mjinga mjinga akakugonga kwa nyuma ila ninachokuasa tu hakikisha uwe na roho ngumu sana kupanda hayo magari.CMimi binafsi siwezi ya jaribu hata kwa dawa naweza kufa kwa pressure kabla sijafika hata Wami.
 
Jamani nimefika Ubungo Sheli nimepata coaster soon linaondoka!
Ila hii safari nimepania mno mpaka nahisi kifo kinaniita! Na sina naloenda kufanya huko bali nimemiss tu wazazi ila nimeshindwa kusubiria kesho yaani roho haikubali kabisa! Soon naanza safari.
 
Ukiamua kupanda magari yanayopeleka magezi siwezi kukuambia eti unaweza pata ajali maana ajali ikipagwa imepangwa hata gari likienda taratibu kama mkokoteni wa punda anaweza kuja mjinga mjinga akakugonga kwa nyuma ila ninachokuasa tu hakikisha uwe na roho ngumu sana kupanda hayo magari.Mimi binafsi siwezi ya jaribu hata kwa dawa naweza kufa kwa pressure kabla sijafika hata Wami.
Nilipanda kuelekea Mbeya Noah moja ya magazeti daa yaani wadau ni wanajuana na matrafic Wa usiku balaa
Gari inatembea kama ndege mnahisi haina mataili

Kuondoka SAA 5 usiku kufika saa 1 asubuhi Uyole Mbeya.
 
Habari wakuu!

Nahitaji kujua kama kuna usafiri wowote wa jioni au usiku wa kwenda Arusha!

Nimepata dharura nahitaji kusafiri jioni/usiku wa leo huko na nimezoea kusafiri na mabus ya kawaida tu! Nimefatilia Kilimanjaro Xprs safari za usiku wamesitisha kwa mda!

Msaada wenu tafadhali wapi naweza usafiri wa jioni wa kwenda Arusha.
Mwenge pale puma sheli unapata faster. Kuna majamaa wapo pale hadi kuna kibenchi. Na mishkaki mitamuu
 
Nilipanda kuelekea mbeya Noah moja ya magazeti daa yaani wadau ni wanajuana na matrafic Wa usiku balaa
Gari inatembea kama ndege mnahisi haina mataili

Kuondoka SAA 5 usiku kufika saa 1 asubuhi uyole mbeya.
Duh. Labda hapo ulewe vinginevyo huwezi panda
 
Habari wakuu!

Nahitaji kujua kama kuna usafiri wowote wa jioni au usiku wa kwenda Arusha!

Nimepata dharura nahitaji kusafiri jioni/usiku wa leo huko na nimezoea kusafiri na mabus ya kawaida tu! Nimefatilia Kilimanjaro Xprs safari za usiku wamesitisha kwa mda!

Msaada wenu tafadhali wapi naweza usafiri wa jioni wa kwenda Arusha.
Unga
 
Back
Top Bottom