Wapi nitapata gari za mkoani Arusha Usiku

Wapi nitapata gari za mkoani Arusha Usiku

Kuna basi la Kilimanjaro kama sio Dar express lina safari za Dar-Arusha kila siku kuanzia saa moja usiku
Weeeee!! Hizo kwa sasa zimeshapigwa marufuku na LATRA!! Yapata wiki tatu sasa hazipo tena!!!
 
Habari ,

Naomba Msaada wa Eneo la kupata IT zinazoenda Mkoani kwa Arusha
 
Ubungo sheli za kutosha utapata
Ila ikifika saa 2 usiku ni kubahatisha
 
Habari , naomba Msaada wa Eneo lakupata IT zinazoenda Mkoani Kwa Arusha
IT za Nairobi kupitia Arusha ni za kubahatisha, kama huna ulazima wa kusafiri usiku safiri asubuhi na mabasi, hizo coaster hakuna kulala za kwenda Moshi Arusha ni roho mkononi.
 
IT za Nairobi kupitia Arusha ni za kubahatisha, kama huna ulazima wa kusafiri usiku safiri asubuhi na mabasi, hizo coaster hakuna kulala za kwenda Moshi Arusha ni roho mkononi.

Coaster za Moshi, Arusha ni salama sana, ulisikia lini zimeua coaster hizo? Acha uongo
 
IT za Nairobi kupitia Arusha ni za kubahatisha, kama huna ulazima wa kusafiri usiku safiri asubuhi na mabasi, hizo coaster hakuna kulala za kwenda Moshi Arusha ni roho mkononi.
Bora umwambie

Kuendeshwa hata mita 300 dereva amesinzia ni kawaida.

Me huwa nazipanda ila sinaga amani kabisa
 
Zilishaua pale Mombo January mwaka huu kama sijakosea.

Ilipinduka yenyewe kwa speed kali ikaua 6 pale pale. Kaka wa rafiki yangu alifariki humo.
 
Uwe tu mpole gia zinavyokanyagwa unaweza juta kupanda
 
Nenda kidongo chekundu
Kuna coaster kibao alamaarufu
Kama hakuna kulala, utapata pale usafiri wa kwenda popote

Ova
 
Back
Top Bottom