Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Mbali na kazi ngumu unaweza fanya kaz gani nyingine braza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana na huko kuna mbezi mwisho?😂Mwanza alafu mbezi mwisho?
Muwe mnasoma mpaka mwsho wakuu
Labda ila sidhaniInawezekana na huko kuna mbezi mwisho?😂
Toa ramani mzeeWengi tunafanya kazi kwenye miji tusioipenda; hiyo kujipagia mkoa wa kufanyia kazi ni ishara ya kutokuwa siriazi kwenye utafutaji.
N.k mzungu anatoka huko ulaya kuzuri anakuja kupambana huku maporini
Anahitajika mtu wa animationToa ramani mzee
Kiwandani kila siku wanachukua vibarua malipo ni 7000Wakuu naomba mnisaidie connection au sehemu ambayo naweza kupata kazi ya malipo ya kiasi cha shilingi elfu tano kwa siku MWANZA MJINI au ILEMELA kama ipo.
NB: Wakuu hata kazi ngumu za ujenzi pia kama zinapatika naomba mnielekeze nikaombe kazi.
Hela waga haitoshi...Mi nalipwa 50k kwa siku ila Bado naona dogo.Me nalipwa 10k kwa siku ila kazi ni ya masimango asee afu naona ni ndogo kumbe Kuna watu wanashida
Huyo jamaa atakuwa mgeni mwanza viwanda vingi sana labda anamatatizoHela waga haitoshi...Mi nalipwa 50k kwa siku ila Bado naona dogo.
Nimeshapata kazi mkuu lkn nakuomba uvitaje hapa hivyo viwanda unavoweza kupata kazi kwa urahisi pengine unaweza kusaidia wengine.Huyo jamaa atakuwa mgeni mwanza viwanda vingi sana labda anamatatizo
SBL nyakato kinazalisha soda aina ya pepsiNimeshapata kazi mkuu lkn nakuomba uvitaje hapa hivyo viwanda unavoweza kupata kazi kwa urahisi pengine unaweza kusaidia wengine.
Naomba connection na mimiHela waga haitoshi...Mi nalipwa 50k kwa siku ila Bado naona dogo.
Mkuu umepata wapi? Mi mwenyewe bado natafuta, malipo ni gani?Nimeshapata kazi mkuu lkn nakuomba uvitaje hapa hivyo viwanda unavoweza kupata kazi kwa urahisi pengine unaweza kusaidia wengine.
Mkuu nami Nina uhitajio naomba muongozo tafadhaliUngekuwa uko Dar ningekwambia uje sasa hivi mahali
Wapi huko Mzee?Njoo tumbe nitalo huku mzee!ni nguvu zako TU hata 20,000 kwa siku unapata