Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

Nimemkumbuka pia mganga wa pale Ukerewe, alimrudishia jamaa bida zake zilizoibiwa, aliwapa watu wapige kazi boda mpya 3 alafu wao wakajiona masonko wakatoroka nazo kila mtu akahama mkoa, kilichofuatia kila mmoja wao anakuja mbio kutoka huko alikokuwa anapiga mwano anamtafuta mwenye boda na kuangukia pale pale anakata moto[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahahahaahahahaha nimecheka sana hii kumbe mmejicategorize kbs🤣🤣
Karibu sana mkuu huku Kwa Msisi Tanga! Mimi ni Mganga Bingwa wa masuala ya mahusiano!! 🥵

Kumvuta mpenzi aliye mbali, kukubaliwa kirahisi tu bila kutongoza/kutongozwa, dawa ya kuoa/kuolewa na tajiri, kupata mwanaume mwenye mvuto na mwanamke pisi kali, nk!!
 
Nina shida binafsi nahitaji mtu mwenye kujua mganga mzuri ambaye anasaidia watu au ata yeye amemsaidia please siihitaji ushauri wala matusi kama uzi haukuusu kaa kimya hapa nahitaji mwenye kujua hili jambo tu narudia usije hapa kama hauna huyo mtu
Ommy [emoji15][emoji849]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nataka mwanamume wa kuoa mkuu! Fanya makaratee!awe mweusi! Sijali tajiri au maskini..ila nioe
 
Hapo utakuwa una chale za kutosha. Yaani umechanjwa hadi sehemu ya kutolea haja kubwa... Waganga ni washenzi hapo bado hawajakulaza makaburini.
 
 
Haya mnaotafutiwa mganga na nyie pambaneni kutafuta mganga wa kuloga asipate mganga. Yaani ni irizi juu ya urizi yaaani. Mdundo mduara hakukuchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…