Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Yupo mzima tele. Ni wewe tuBado yupo huyo wa nyamadoke, Kuna mtu kaniibia ng'ombe wangu nataka nimzime
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo mzima tele. Ni wewe tuBado yupo huyo wa nyamadoke, Kuna mtu kaniibia ng'ombe wangu nataka nimzime
Yupo mzima tele. Ni wewe tu
Mkuu nitumie mawasiliano ya watu wa lugulu maana naona umefunga pmNimeeka haya maelekezo kwa kumsaidia mtoa mada na wala sifanyi biashara wala kumpigia mganga yeyote promo, naomba muhusika kama atafanikiwa kwenda huko aje alete mrejesho na awape na wengine kwa faida yao, nitabeba dhambi moja, dhambi zingine jibebesheni wenyewe kwa wenyewe.
Kijana wa miaka 30-40 aiijue fb na yuko town, hahaha.you must be kidding...Kwanini usimchukue huyo wa kwako wa nyamadoke ambaye kwa uhakika sio mganga wa ukweli ni mganga wa michongo namfaham mana ana mpaka ukurasa wa facebook, uongo kweli
Pm kuko locked mkuuKama uko serious tafuta usafiri wa toka hapo ulipo uende mpaka simiyu(bariadi mjini),kama utakua unatokea upande wa mwanza utashuka stendi ya somanda ama bariadi mjini, utapanda boda mpaka lugulu kwa buku tano na kama unatokea shinyanga utawaambia wakushushe lugulu. Baada ya hapo kuna kama vijiji viwili sijavishika jina(kama uko serious)utanifata PM nitakupatia namba za wenyeji watakaokupokea na kukupeleka eneo husika..
Mtaalam sio mzee ni kijana mwenye weledi na hataki pesa yako zaidi ya elfu mbili(2000)kabla ya kukuganga.malipo yake ni ahadi tu baada ya kufanikiwa utarudi kutoa shukrani.
Mkuu mambo unayotaka kuyajaribu uwe na moyo.
Tukiwa na nguvu zetu au tukiwa tumechoka sana?Tutafika
Nimemkumbuka pia mganga wa pale Ukerewe, alimrudishia jamaa bida zake zilizoibiwa, aliwapa watu wapige kazi boda mpya 3 alafu wao wakajiona masonko wakatoroka nazo kila mtu akahama mkoa, kilichofuatia kila mmoja wao anakuja mbio kutoka huko alikokuwa anapiga mwano anamtafuta mwenye boda na kuangukia pale pale anakata moto[emoji23][emoji23][emoji23]
aiseePm kuko locked mkuu
BlockPm kuko locked mkuu
Mkuu mambo vipi, naomba tuwasiliane chemba kidogo kuna ishu tuongeeBlock
Nitext pm nmekutafuta nikutext nmeshindwaChumvi ya buku 2 inatosha kumaliza kila kitu.. Mwambie akutoe na 10% [emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kufanya nn!??/hebu mpigie huyu mwamba 0783 450 758 ni mafia kinomaNinaye anaye mjua mganga mzuri nikupe namba zake hapa?
Mcheki huyu 065716 babu wangu weeeeNimedhulimiwa na watu awataki kunilipa madeni yangu