JM Kavulla
Senior Member
- Mar 16, 2018
- 176
- 169
Ulishawahi kuongea na Mungu ukajua ana taka nini?Mkuu unavaa nusu uchi na mapaja yako meusi then unataka uonekane Live Azam Tv ?
Vaeni vizuri bagarashia baibui Kama Mungu anavyotaka that all hakuna kingine
Yaani umekwama na , wapemba, waarabu, mara wayemen, hadi waislam. Sema sipendi waislam na vitu vyao, huna haja ya kuanzisha ajenda ya kupiga uislam vita kupitia tv za watu, ni mpango muovu acha
Mbona kwenye ziara ya rais pale Dodoma huwa wanaonesha msikiti wa Gadafi na adhana inatoka tunasikia kupitia Tbccm,matangazo ya habari kuna picha ya lile kanisa kubwa la Posta silijui jina,hata picha za kuonesha Bandar ya Dar na yale majengo marefu kanisa na msalaba wake huoneshwa.....mbona hausemi,tuseme tu wewe ni mdini mpuuzi mmoja unataka kuleta chuki kwa Azam media.
Hamasisha watu wenu makanisani waache kununua na kuangalia mpira kupitia Azam tv kama utafanikiwa.
Kipaumbele ni mpira, Acha kujizima data. Toa ushahidi usio na shaka acha kuunga unga doti
Huyu jamaa ni lofa sana aisee yaani et coverage kubwa ni msikiti. Anavyoongea utafikiri ni yeye pekeake huwa anaangalia mpira. Watu wamefikia hatua ya kushauri azam TV itumike kama VAR kwa sababu ya ubora wa urushaji matangazo ya mpira yeye anakwambia sijui wataishia pabaya.
Ndo maana nilipokuwa early teen niliamini sana kuwa matusi humfanya mtu akili ikae sawa, yaani ukimtukana anakuwa sawa na mambo yalienda vizuri. Now umri umeenda matatizo ni mengi sana.
katoa mada kanavyojieleza utafikiri kenyewe ndo huwa kanaangalia huo mpira pekeake. Kajinga sana haka.
Ila kuna watu wadini, nafikiri ile assalam aleykum, amani iwe nanyi ya mpenja inakukera sana.
Kwamba kwa sababu dodoma wanaonesha msikiti na singida waoneshe msalaba.
MImi huwa naangalia mpira home(natazama matukio yote) lakini kuna wadada ambapo hawajavaa ushungi wanaoneshwa(mpenja atasema waoo mlimbwendeee huyu), wanaume ambao hawajavaa kanzu pia wanaoneshwa etc
Hayo madai yako hayana msingi wowote.
Niwatakie sikukuu njema ya Christmas na mwaka mpya. Badala yake wanasema Niwatakie sikukuu njema na mwaka mpya. Hata hai sound vizuri. Hiyo sio bahati mbaya
Tembea uone mkuu acha ushamba huo…..kwani afya sio public service
Umeona baibui kanzu na misikiti au umemuona Aziz ki!?
Wagalatia na nyie mmeanza tabia ya kulalamika?
Hivi huyo azam asiporusha msalaba..picha za christmas au akabase kwenye uislam tu yesu hatakua mkombozi wa ulimwengu..??jibu NO...na kingine those rich guys don't give a fuc.. about your fu....opinions....
Uache kuangalia vyenga na mitetemo ya dada mayele..unahangaika na dini kaka..?
Ok basi ukiona huwez kuangalia hayo..base tu kumcheki aziz ki venye anatema mate...
Naendelea na utafit. Dakika ni ya 52 wavaa kanzu na baibui hawajamulikwa na camera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lengo ni wajinga mtupishe
Mpka saiv camera zimemulika jukwaan mara 4View attachment 2458098View attachment 2458099
Mbona MAMA J alionyeshwa sana tu na Camera za Azam akiwa uwanjani na wala hakuwa amevaa baibui wala kanzu.Wiki iliyopita nilisoma uzi wa mdau kuhusu Azam media kuepuka kutaja neno Christmas kwenye maudhui yao ya kutakia watanzania heri ya sikukuu za mwisho wa mwaka.
Ni kweli sio bahati mbaya ni mipango yao kwa kuwa ni kampuni binafsi hata wakilalamika watachoka wataacha
Sasa nikajipa jukumu la kuchunguza angle fulani ya wapiga picha wa Azam media hasa wanaorusha mpira wa ligi kuu
Ndipo nikafikia swali kujiuliza hawa watu wanataaluma kweli au ndio wanafuata matakwa ya boss
Kitu cha kwanza nilichogundua ukiwa umevaa mavazi fulani yenye utamaduni wa imani fulani ndani ya dakika tisini wanaweza kumzoom huyo mtu hata mara kumi iwe mwanamke au mwanaume
Je hawa watangazaji huwa wanapewa maelekezo au ndio mahaba yao binafsi? Kwamba uwanjani kipaumbele ni watu fulani ndio wenye hadhi ya kuwa spotted na camera?
Kama huamini jaribu kuvaa kama waarabu nenda uwanjani utaona kila muda upo live kwa TV
Kitu kingine pale uwanja wa Dodoma kuna nyumba ya ibada alijenga Gadafi ile nyumba kama kuna mechi pale huwa inafanyiwa coverage kuliko hata matukio ya uwanjani hivi azam haina mtu wa maudhui au ni mikakati yao
Upande wa pili kule Singida kuna nyumba ya ibada ipo karibu na uwanja ile nyumba kwa juu ina msalaba kitu cha kushangaza warusha picha huonyesha mashabiki waliokaa kwenye milima wakionyesha mpira ila huwa wanakuwa makini sana ule msalaba usionekane
Kitu kingine wanaopangwa kama watangazaji wa mchezo wanaopewa kipaumbele ni wale wanaosalimia kwa kwa salamu ya dini
TFF mtalaumiwa kama hii ligi itaharibiwa na hawa watu
Mnaona ligi ya Egypt ambayo ni kama nchi ya kiislam hawana ubaguzi wa kidini hata kidogo
Mnaona ligi ya Africa Kusini ambayo ni kama nchi ya kikrsto hawana ubaguzi wa kidini na ligi yao ni bora
Azam media ni kama wana ajenda yao waambiwe tu hawatafanikiwa na wanaweza kupotea kabisa
Huyu mtoa mada hayuko sawa kichwani..rejea mada zake za nyuma,ni mtu wa kupuuza! Ni mdini asiye paswa kuzingatiwa.
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,jipige kifua na useme ww ni kubwa jinga
Unaugua dadaNimeona mpira na maudhui ya udini
Huu udini unaosemwa upo hapa jamiiforum tu .ila kiuhalisia mambo ni shwari.
NA ITOSHE KUSEMA MTOA MADA NI CHOKO...EBU UWE UNAPUNGUZA MAKASIRIKO K WW KWANI NI LAZIMA UTAZAME AZAM AU UMETUMWA KUICHAFUA?? MARA NGAPI CAMERAMAN WANAMUONESHA MAMA J SIKU AKIWA UWANJANI?? YAANI UMEJAA CHUKI ZA KIDINI KAMA SHOG* KHAA MNAKERA SANA *****
Wewe ndio umewaza hivyo mkuu, ila kama unapata ulicholipia sioni haja ya kulalamika. Unataka uone mechi au uone makanisa!?