shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Mim uwa sipend kuita watu wapumbavu ila wew ni mpumbavu wa kiwango cha juu.Kukaa mapaja wazi si ajenda
Ajenda ni kuwa mpira sio jukwaa la dini
Aliyeshinda kurusha mpira wa Tanzania ni azam media tena hakushindanishwa ila kugeuza mpira km jukwaa la dini fulani ni kujijengea kaburi
Hiyo inaathiri vipi suala zima la mpira wa miguu??
Kuna lawama nyingine ni za kijinga sana, kwani kuna mwanahisa mkristo? Angalia mechi acha udini wa kipumbavu
Kwaio mpira ni utamadun wa kiarabu.Hakuna mshindani yeyote
Azam media amepewa haki ya kurusha matangazo na sio kurusha utamaduni wa kiarabu ataharibikiwa
Mim uwa sipend kuita watu wapumbavu ila wew ni mpumbavu wa kiwango cha juu.
SAS kama kukaa mapaja waz si ajenda kwanii kanzu na baibu iwe ajenda
Yan mkaa uji akioneshwa ni sawa ila mvaa kanzu na baibui akioneshwa ni ajenda come on bro
Peleken wachungaji na masister uwanjani tuone kam hawatooneshwa
Mnakua wapuuzi sana skuiz[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Kwaio mpira ni utamadun wa kiarabu.
Wale mashabiki wanaovaa jezi ,kujipaka rangi na kucheza pia ni utamaduni wa kiarabu
Hivi nkikuita mjinga ntakua nakosea
Unaongea mambo yasioelewkaHakuna mpuuzi mpira ni public interest na sio jukwaa la dini
Km Azam media anaona yupo na jukumu la dini akasajili hivyo chombo chake na ajitoe kurusha matangazo ya mpira hakuna atakayenfatilia
Mkuu acha udini jifunze kwenye maisha kupuuza vitu vidogo vidogo visivyo na msingi.Mpira ni public interest akiachana na kurusha mpira wa Tanzania atabaki na kurusha maudhui ya wapemba wenzie hakuna atakayenfatilia
Acha makelel njo na uthibitisho wa picha baadae kuna game ya azam vs yangaMpira sio utamaduni wa kiarabu ila azam media anataka kuupeleka mpira wa Tanzania kwenye maudhui ya dini fulani anajificha kwenye kichaka hicho they won't survive
Unaongea mambo yasioelewka
Baadae kuna game ya yanga vs azam njoo na uthibitisho wa picha acha ngonjera
Mkuu tukizima TV, Azam Media itabaki Zanzibar tu! Usitujaribu!!Zima TV katafte shughuli nyengine, kama pesa unazo nunua ww haki za kurusha matagazo
Mkuu acha udini jifunze kwenye maisha kupuuza vitu vidogo vidogo visivyo na msingi.
Azam hakuanza kufanya vizuri kwenye Mpira wa Tanzania alianza kwenye ubora wa vitendea kazi, HABARI than Michezo.
Hivi ninani mwengine angeweza kushinda hiyo tender ya kurusha matangazo kwa ubora wa HD km sio Azam ndani ya nchi kabla ya hapo sii ilikuwa vituko hata kurudiwa kwa tukio ilikuwa shida au ww mtoto wa juzi.
Akuna kitu kama icho kama tatizo lako ni kanzu,kanzu zinavaliwa mpaka Bungeni tena mpaka na wabunge ambao sio waislam,mahakimu wa mahakama wengine sio waislam ila wanaingia na kanzu ofisini na anapiga kazi fresh tu.wapo wachungaji hapa Tanzania wanavaa kanzu ni vazi tu wala usipate shida hata wewe unaweza ukavaa kanzu yako na kighalabashia chako kichwani tena na bakora yako mkononi huyoo unakatiza zako mitaa fresh tu.taifa moja nchi moja one love.Haiwezi kuwa ya kipumbuvu, wajinga ni wale wanaotumia jukwaa la mpira kuleta udini
roho mbaya zitawapa pressure hizo.Hakuna mshindani yeyote
Azam media amepewa haki ya kurusha matangazo na sio kurusha utamaduni wa kiarabu ataharibikiwa
Akuna kitu kama icho kama tatizo lako ni kanzu,kanzu zinavaliwa mpaka Bungeni tena mpaka na wabunge ambao sio waislam,mahakimu wa mahakama wengine sio waislam ila wanaingia na kanzu ofisini na anapiga kazi fresh tu.wapo wachungaji hapa Tanzania wanavaa kanzu ni vazi tu wala usipate shida hata wewe unaweza ukavaa kanzu yako na kighalabashia chako kichwani tena na bakora yako mkononi huyoo unakatiza zako mitaa fresh tu.taifa moja nchi moja one love.
Azam kwa bidhaa bora[emoji120]
roho mbaya zitawapa pressure hizo.
Akuna namna ya kushusha bidhaa za Azam kwa vijisababu vya kipuuzi.hutaweza mkuu amini nakwambia huwezi.Hakuna mshindani yeyote
Azam media amepewa haki ya kurusha matangazo na sio kurusha utamaduni wa kiarabu ataharibikiwa
Kama ni haki yao kufanya hivyo mbona hawabagui kwenye wateja uoni wanafanya unafikiNadhani ni private company, hivyo wana haki ya kufanya chochote wanachotaka
Sas hio analysis unaifanyaj kama huangalii game [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sikai kuangalia game by game kazi yangu ni kufanya analysis
Hii ni Tanzania remember that