shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Mim uwa sipend kuita watu wapumbavu ila wew ni mpumbavu wa kiwango cha juu.Kukaa mapaja wazi si ajenda
Ajenda ni kuwa mpira sio jukwaa la dini
Aliyeshinda kurusha mpira wa Tanzania ni azam media tena hakushindanishwa ila kugeuza mpira km jukwaa la dini fulani ni kujijengea kaburi
SAS kama kukaa mapaja waz si ajenda kwanii kanzu na baibu iwe ajenda
Yan mkaa uji akioneshwa ni sawa ila mvaa kanzu na baibui akioneshwa ni ajenda come on bro
Peleken wachungaji na masister uwanjani tuone kam hawatooneshwa
Mnakua wapuuzi sana skuiz[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]