Wapiga picha wa Azam Media wana elimu Gani? Au wanafanya kusudi

Kukaa mapaja wazi si ajenda

Ajenda ni kuwa mpira sio jukwaa la dini

Aliyeshinda kurusha mpira wa Tanzania ni azam media tena hakushindanishwa ila kugeuza mpira km jukwaa la dini fulani ni kujijengea kaburi
Mim uwa sipend kuita watu wapumbavu ila wew ni mpumbavu wa kiwango cha juu.

SAS kama kukaa mapaja waz si ajenda kwanii kanzu na baibu iwe ajenda

Yan mkaa uji akioneshwa ni sawa ila mvaa kanzu na baibui akioneshwa ni ajenda come on bro

Peleken wachungaji na masister uwanjani tuone kam hawatooneshwa

Mnakua wapuuzi sana skuiz[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mpira ni public interest km azam media ana mahaba na dini yake asajili km chombo cha dini aombe kibali icho la sivyo hana nafasi Tanzania

Hiyo inaathiri vipi suala zima la mpira wa miguu??

Kuna lawama nyingine ni za kijinga sana, kwani kuna mwanahisa mkristo? Angalia mechi acha udini wa kipumbavu
 
Hakuna mshindani yeyote

Azam media amepewa haki ya kurusha matangazo na sio kurusha utamaduni wa kiarabu ataharibikiwa
Kwaio mpira ni utamadun wa kiarabu.

Wale mashabiki wanaovaa jezi ,kujipaka rangi na kucheza pia ni utamaduni wa kiarabu

Hivi nkikuita mjinga ntakua nakosea
 
Hakuna mpuuzi mpira ni public interest na sio jukwaa la dini

Km Azam media anaona yupo na jukumu la dini akasajili hivyo chombo chake na ajitoe kurusha matangazo ya mpira hakuna atakayenfatilia
Mim uwa sipend kuita watu wapumbavu ila wew ni mpumbavu wa kiwango cha juu.

SAS kama kukaa mapaja waz si ajenda kwanii kanzu na baibu iwe ajenda

Yan mkaa uji akioneshwa ni sawa ila mvaa kanzu na baibui akioneshwa ni ajenda come on bro

Peleken wachungaji na masister uwanjani tuone kam hawatooneshwa

Mnakua wapuuzi sana skuiz[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mpira sio utamaduni wa kiarabu ila azam media anataka kuupeleka mpira wa Tanzania kwenye maudhui ya dini fulani anajificha kwenye kichaka hicho they won't survive
Kwaio mpira ni utamadun wa kiarabu.

Wale mashabiki wanaovaa jezi ,kujipaka rangi na kucheza pia ni utamaduni wa kiarabu

Hivi nkikuita mjinga ntakua nakosea
 
Hakuna mpuuzi mpira ni public interest na sio jukwaa la dini

Km Azam media anaona yupo na jukumu la dini akasajili hivyo chombo chake na ajitoe kurusha matangazo ya mpira hakuna atakayenfatilia
Unaongea mambo yasioelewka

Baadae kuna game ya yanga vs azam njoo na uthibitisho wa picha acha ngonjera
 
Mpira ni public interest akiachana na kurusha mpira wa Tanzania atabaki na kurusha maudhui ya wapemba wenzie hakuna atakayenfatilia
Mkuu acha udini jifunze kwenye maisha kupuuza vitu vidogo vidogo visivyo na msingi.

Azam hakuanza kufanya vizuri kwenye Mpira wa Tanzania alianza kwenye ubora wa vitendea kazi, HABARI than Michezo.

Hivi ninani mwengine angeweza kushinda hiyo tender ya kurusha matangazo kwa ubora wa HD km sio Azam ndani ya nchi kabla ya hapo sii ilikuwa vituko hata kurudiwa kwa tukio ilikuwa shida au ww mtoto wa juzi.
 
Mpira sio utamaduni wa kiarabu ila azam media anataka kuupeleka mpira wa Tanzania kwenye maudhui ya dini fulani anajificha kwenye kichaka hicho they won't survive
Acha makelel njo na uthibitisho wa picha baadae kuna game ya azam vs yanga
 
Mimi sikai kuangalia game by game kazi yangu ni kufanya analysis

Hii ni Tanzania remember that
Unaongea mambo yasioelewka

Baadae kuna game ya yanga vs azam njoo na uthibitisho wa picha acha ngonjera
 
Mimi udini siujui wenye udini ni wale wanaotaka kuingiza udini kwenye maudhui ya mpira

Mpira ni public interest haipaswi kuwa na chembembe za udini

Mpira ni biashara
Mkuu acha udini jifunze kwenye maisha kupuuza vitu vidogo vidogo visivyo na msingi.

Azam hakuanza kufanya vizuri kwenye Mpira wa Tanzania alianza kwenye ubora wa vitendea kazi, HABARI than Michezo.

Hivi ninani mwengine angeweza kushinda hiyo tender ya kurusha matangazo kwa ubora wa HD km sio Azam ndani ya nchi kabla ya hapo sii ilikuwa vituko hata kurudiwa kwa tukio ilikuwa shida au ww mtoto wa juzi.
 
Haiwezi kuwa ya kipumbuvu, wajinga ni wale wanaotumia jukwaa la mpira kuleta udini
Akuna kitu kama icho kama tatizo lako ni kanzu,kanzu zinavaliwa mpaka Bungeni tena mpaka na wabunge ambao sio waislam,mahakimu wa mahakama wengine sio waislam ila wanaingia na kanzu ofisini na anapiga kazi fresh tu.wapo wachungaji hapa Tanzania wanavaa kanzu ni vazi tu wala usipate shida hata wewe unaweza ukavaa kanzu yako na kighalabashia chako kichwani tena na bakora yako mkononi huyoo unakatiza zako mitaa fresh tu.taifa moja nchi moja one love.

Azam kwa bidhaa bora🙏
 
Rudi juu ukasome uelewe
Km hujaelewa utakuwa kundi moja na hao warusha maudhui
Akuna kitu kama icho kama tatizo lako ni kanzu,kanzu zinavaliwa mpaka Bungeni tena mpaka na wabunge ambao sio waislam,mahakimu wa mahakama wengine sio waislam ila wanaingia na kanzu ofisini na anapiga kazi fresh tu.wapo wachungaji hapa Tanzania wanavaa kanzu ni vazi tu wala usipate shida hata wewe unaweza ukavaa kanzu yako na kighalabashia chako kichwani tena na bakora yako mkononi huyoo unakatiza zako mitaa fresh tu.taifa moja nchi moja one love.

Azam kwa bidhaa bora[emoji120]
 
Hakuna mshindani yeyote

Azam media amepewa haki ya kurusha matangazo na sio kurusha utamaduni wa kiarabu ataharibikiwa
Akuna namna ya kushusha bidhaa za Azam kwa vijisababu vya kipuuzi.hutaweza mkuu amini nakwambia huwezi.
kuna mradi mwingine mkubwa Azam wanawekeza wenye thamani ya mabilioni ya dola hamtawezana jamaa kawaacha mbali sana.
 
Back
Top Bottom