Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Baada ya kuenea taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kumchangia Sabaya, nimefuatilia na kugundua kuwa hakuna mchango wa maana zaidi ya kikundi Fulani Cha Wapigaji wanaotaka kumfanya Sabaya fursa.
Mkumbuke wakati wa awali wa kesi yake liliibuka kundi kama hili likachangisha Watu na wakatokomea. Kuweni makini na Watu hawa na SERIKALI ifuatilie michango hii.
Acheni kutumia maumivu ya mtu kujineemesha.